DUNIANI KOTE MICHEZO HUPUMBAZA WATU, HASA MPIRA WA MIGUU NDIO MAANA KUNA KITU KINAITWA FOOTBALL HOLIGANISM! TENA INAKUWA WORSE KWA CADRE YA WATU ILLITERATE!Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki Saba kwenye nchi yenye takribani watu 60m?
Angalia kiongozi wa nchi anavyohangaika na Yanga na Simba.Zimejaza wageni ndio wanapewa nafasi.sisi tu wanaohamisha fikra za maendeleo kuwaza majina ya wachezaji.
Tuamke usingizini,kujiondoa kwenye huu ujinga tuliioingizwa na kubeti tunaona ndio maisha halisi,
Sio duniani koteDUNIANI KOTE MICHEZO HUPUMBAZA WATU, HASA MPIRA WA MIGUU NDIO MAANA KUNA KITU KINAITWA FOOTBALL HOLIGANISM! TENA INAKUWA WORSE KWA CADRE YA WATU ILLITERATE!
Na Mitanzania ilivyo mijinga, inashabikia hizi timu kama yameshikwa na mapepo...ufala sanaSerikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki Saba kwenye nchi yenye takribani watu 60m?
Angalia kiongozi wa nchi anavyohangaika na Yanga na Simba.Zimejaza wageni ndio wanapewa nafasi.sisi tu wanaohamisha fikra za maendeleo kuwaza majina ya wachezaji.
Soma Pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
Tuamke usingizini,kujiondoa kwenye huu ujinga tuliioingizwa na kubeti tunaona ndio maisha halisi,
Ustupangie maishaaNa Mitanzania ilivyo mijinga, inashabikia hizi timu kama yameshikwa na mapepo...ufala sana
Olympic ni elite level sports, kule hamna lobbying, why kama nchi tunafanya vibaya is because tumekuwa exposed for our incompetency kwenye michezo.Serikali inatumia mpira wa migumu na sekta ya burudani kupitia bongo fleva,kulaza fikra za watu,chunguza ushiriki wetu Olimpiki,uhamasishaji Ili kupata washiriki wenye viwango, unapeleka washiriki Saba kwenye nchi yenye takribani watu 60m?
Angalia kiongozi wa nchi anavyohangaika na Yanga na Simba.Zimejaza wageni ndio wanapewa nafasi.sisi tu wanaohamisha fikra za maendeleo kuwaza majina ya wachezaji.
Soma Pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
Tuamke usingizini,kujiondoa kwenye huu ujinga tuliioingizwa na kubeti tunaona ndio maisha halisi,
Fact, Zamani tulifanya Vizuri kwakuwa Serikali ilisisitiza na kusimamia Michezo toka shule za Msingi,pia kulikuwa na mashindano ya Shule,baina ya Shule,kata,wilaya,Mkoa,Kanda mpaka Taifa. Tulipata wawakilishi Bora! Sasa hivi wanafunzi na walimu wanatumika kisiasa.Olympic ni elite level sports, kule hamna lobbying, why kama nchi tunafanya vibaya is because tumekuwa exposed for our incompetency kwenye michezo.
Kama tz inataka tushinde, lazima tuanze ku recruit vipaji tokea watoto, trainthem kwneye elite level performance. Sisi tunapeleka watu wazima ambao wengi hawana uwezo tena , misuli imeshakakamaa, hawako flexible tena
Lazima tuanze from scratch, siasa tuweke pembeni kwenye hili
Sio kosa lao,Wanaona RAIS,Makamo,Waziri Mkuu,Mawaziri wako huko wao pia wanaona Kuna kitu Cha Maana,kumbe wenzao wanataka kura zao na kuwalaza usingiziNa Mitanzania ilivyo mijinga, inashabikia hizi timu kama yameshikwa na mapepo...ufala sana