Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

"Ukitaka kula lazima uliwe" JK
 
Mwaarabu akulipie matangazo bure kwa siku 30 eti kwa sababu ya"uhusiano mzuri"how do you define uhusiano mzuri..yaani akulipie trillion 2.2 kwa sababu tuu ya uhusiano mzuri..mwarabu huyu huyu..au labda uhusiano mzuri unamaanisha tumeolewa...na hiyo ni mahari...
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu sio vyote ni kuliwa
Nashukuru mmejitokeza kunijibu lakini ndo mmeongeza maswali.
1.Ni Rais wetu peke yake aliyeenda kwenye hayo maonesho au na Marais wa nchi nyingine walikwenda na nchi zào zimewekwa Burj?
2.Je, nchi yetu haikujulikana huko Arabuni Hadi tuweke bendera Kwa gharama za bure wakati Kila siku mnatuambia Waarabu wa Oman na Dubai ni ndugu zetu na wangeweza kuifanya Zanzibar kuwa Dubai ndogo?
3.Waliotulipia tutawalipa nini, maana duniani No free Lunch.
4.Waliotulipia wanataka nini kwetu au kila wanapotaka kwenda kuwekeza wanaweka bendera ya nchi husika hapo Burj Khalifa?
5.Tangazo la kujisifia kutangazwa Burj khalifa liliwekwa as if ni kitu special Sana kimefanyika, ok ni special tujulisheni economical impact ya Tangazo hilo la gharama Kwa dakika 3 hata kama hamkulipa chochote na Nini kilichoko nyuma ya ukarimu huu wa Ghafla àmbao hatukuuona Ufaransa na Ubelgiji ambako nako kuna minara maarufu?
 

Sio ndio hapo sasa, kuliko waweke tangazo la siku 30 la 2t, si bora watupe nusu ya hiyo hela tujenge viwanda 10 vya 100b@ vya kimkakati?
 

Haya Mambo ya free lunch ndio yanayoumiza Nchi kupitia mikataba mibovu,hata Kikwete aliisha wahi kuongwa Suti,mwisho tuliona nchi ilivyogezwa shamba la bibi.ngoja tuone mwisho wa Samia, Maana akuna Siri chini ya jua yatajulikana tu
 
Hatujalipa fedha taslimu lakini mmelipa kwa kupitia mikataba iliyowekwa....kuna mahala wamefurahia
 

Nonsense and stupidity! Kwamba Tanzania haijulikani mpaka ikatangazwe Dubai? Fikiria kwanza.
 
Maneno kama haya wawe wanahaditiiana kwenye vikao vya Chama Chao huko ndani ambako Hakuna anayeweza kuhoji.
 
Kupanga ni kuchagua! Kwa nini isingefanyika juhudi ya hiyo offer ya tangazo ya takribani 2.2Trillion kwa mwezi iende kwenye vipaumbele muhimu vya kitaifa?
Ni sawa na kumchukua mtu maskini kabisa, na kumpeleka kwenye hotel ya kitalii, na kumwambia chakula na malazi yako (huyu mtu maskini imegharimu mamilioni kwa kwa usiku mmoja). Ni suala la hekima na ujuha tu hapa.
 
BURE KABISA... hua mnasema hivyo... Kumbuka ya BARABARA ya MOROCO MWENGE awali taarifa yenu ilisemaje na baadaye AIBU KUBWA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…