Nafikiri hiyo ni ishara ya kidole juu kaonyesha kaikubali comment yako......Nimecheka kwa nguvu, ishara zenu mapunga kutaka mabasha kwa nguvu huwa mazijua wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri hiyo ni ishara ya kidole juu kaonyesha kaikubali comment yako......Nimecheka kwa nguvu, ishara zenu mapunga kutaka mabasha kwa nguvu huwa mazijua wenyewe.
Nani aliifunga Tanzania? unafiki unafiki unafiki tupu au CHADEMA waliifunga Tanzania?Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..
Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.
Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Utawala wa Dubai umeweka tangazo hilo kwa kutambua ziara ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kaifanya Dubai na umeahidi kuendelea kuitangaza Tanzania kupitia jengo hilo maarufu.
Pia soma
- Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa - Dubai lapambwa kwa picha za Bendera ya Tanzania
- Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?
===
GHARAMA zilizoelekezwa na mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya US$ 67,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki TZS 150M kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote hilo la Burj Khalifa.
=>Gharama kwa lisaa limoja ni jumla ya TZS 3BL,
=> Gharama kwa siku moja ni TZS42BL
=> Gharama kwa siku 30 ni TZS 2.2Trilioni,
=>Kwasababu ya mahusiano mazuri kati ya mamlaka za Tanzania na Dubai tumepewa kujitangaza bure Kabisa kwa siku 30,
Nani Kama Rais Samia Suluhu Hassan?
Hoja yangu ni nini hapa,
Kwanza, Huu ni ushahidi wa wazi kwamba sasa ni rasmi Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefunguka Kitaifa & Kimataifa,
Pili,Kupitia matangazo haya Tanzania inakwenda kupata idadi kubwa sana ya wawekezaji wa nje na watalii ambao pengine haijawahi kuwashuhudia tangu Uhuru wake,
Tatu,Rais Samia anakuwa ni Rais mwenye ushawishi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara ndani ya muda huu mfupi ( rejelea ziara zake za Ufaransa na Ubelgiji )
Nne, Burj Khalifa ni taasisi yenye zaidi ya followers 10M kwenye akaunti zake za Tweeter, facebook,Telegram na Instagram na nimejaribu kupitia accounts hizi Tanzania ina-trend kwa kasi,
upo sahihi kabisa mkuuUkisikia kiongozi anasema eti anaitangaza Tanzania duniani, ujue kafilisika kimawazo.
Niliwaambia humu kwamba maza kaenda kwa wanaume wa dunia acheni ufukunyuku hamuelewi oneni sasa tunapeta bureMsemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..
Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.
Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu na Umoja wa Falme za Kiarabu.
Utawala wa Dubai umeweka tangazo hilo kwa kutambua ziara ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kaifanya Dubai na umeahidi kuendelea kuitangaza Tanzania kupitia jengo hilo maarufu.
Pia soma
- Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa - Dubai lapambwa kwa picha za Bendera ya Tanzania
- Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?
===
GHARAMA zilizoelekezwa na mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya US$ 67,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki TZS 150M kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote hilo la Burj Khalifa.
=>Gharama kwa lisaa limoja ni jumla ya TZS 3BL,
=> Gharama kwa siku moja ni TZS42BL
=> Gharama kwa siku 30 ni TZS 2.2Trilioni,
=>Kwasababu ya mahusiano mazuri kati ya mamlaka za Tanzania na Dubai tumepewa kujitangaza bure Kabisa kwa siku 30,
Nani Kama Rais Samia Suluhu Hassan?
Hoja yangu ni nini hapa,
Kwanza, Huu ni ushahidi wa wazi kwamba sasa ni rasmi Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefunguka Kitaifa & Kimataifa,
Pili,Kupitia matangazo haya Tanzania inakwenda kupata idadi kubwa sana ya wawekezaji wa nje na watalii ambao pengine haijawahi kuwashuhudia tangu Uhuru wake,
Tatu,Rais Samia anakuwa ni Rais mwenye ushawishi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara ndani ya muda huu mfupi ( rejelea ziara zake za Ufaransa na Ubelgiji )
Nne, Burj Khalifa ni taasisi yenye zaidi ya followers 10M kwenye akaunti zake za Tweeter, facebook,Telegram na Instagram na nimejaribu kupitia accounts hizi Tanzania ina-trend kwa kasi,
Hawawezi kukiri, kwanini kabla ya kelele hawakusema kuwa tangazo ni bure?Ngumu sana kuwaamini watendaji wa serikali ya CCM
Da kunywa pepsi baridi nitalipa mkuu, good point nzuri sn kama hizi na siyo matangazo yenu.Mtu aje kuwekeza sababu kaona Bango ? Huyo sio Muwekezaje bali kanjanja au Machinga..., Watu wanafanya due diligence za kufa mtu na wanawekeza kwa kuona / kuangalia stability ya mambo yao na sio kubadilika kila dakika.....
Ni more cost effective kuwa na Sera za kueleweka , infrastructure za maana na labor force yenye technical know how (wawekezaji watakuja tu) unaweza hata ukaweka tangazo kwenye mwezi kila kiumbe alione ila hali halisi field ndio inafanya watu waje au wasije (na kama hali mbaya bado wanakuja fahamu kwamba wanapewa favor ambayo mtoaji anaumia) as the saying goes kibaya chajitembeza.....
Mkuu hoja kama hizi zilikuwa za Paschal Mayala kabla hajanunuliwa na CCMYap huenda ni kweli hatujalipa....
Ingawa sijui na wao ni kipi / vipi tutawapa favor na wasilipe....
As the saying goes no free lunch..., mwisho wa siku ndio tutajua kama ni Win/Win au kama Kawaida yetu Win kwa Wachache (10%) na Loose kwa Taifa na vizazi vijavyo...
Sema uliwekeza kwenye bunyero….Niliwekeza kwenye bureau de change, dhalimu akatuma wahuni kunipora.
Sema uliwekeza kwenye bunyero….
Kumbe ulifungua duka la chenji?Niliwekeza kwenye bureau de change, dhalimu akatuma wahuni kunipora.
Sisi siyo wajinga ki hivyo ,iHilo jengo Ni la mtu binafisi na siyo la Serikali ya Dubai,Ngumu sana kuwaamini watendaji wa serikali ya CCM
Kumbe ulifungua duka la chenji?
Basi hiyo ni biashara… sio uwekezaji bro
The most ilikua broka aka broker
Ngumu sana Kwa type hiyo kuelewa why tuna mega investments nchini
Frame yako ya biashara Bado ni ile ya kichuuzi
Sometimes it’s better to punch your weight
Kwa hiyo tumehongwa tangazo?Niliwaambia humu kwamba maza kaenda kwa wanaume wa dunia acheni ufukunyuku hamuelewi oneni sasa tunapeta bure
[emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Nadhani umekumbuka kauli ya waziri mkuu... "Rais Magufuli yuko salama kabisa anachapa kazi. Au mlitaka kumwona Kariakoo?"..... kumbe mwendazake tayari yuko anaongoza malaika na mwili wake uko kwenye friji
Wakwako ni level ya kichuuziKwahiyo uwekezaji sio biashara? Au unacheza na maneno ukidhani utanivuruga?
Wakwako ni level ya kichuuzi
Siyo hiyo unayojatibu kuilink na rais wa nchi
Asante sana kwa kutupa taarifa.Wale waliosema Tangazo limelipiwa,bado watalalamika kwa nini halikulipiwa.Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..