Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

Kulipa mwalalamika,bure mwalalamika.Badala kufuatilia uwekezaji na biashara,mwabakia kulalamika.
dah aisee waarabu ni watu wazuri sana kwa Tanzania, tulifanya makosa makubwa kama taifa kwenye hatua ya makudi kufuzu kucheza kombe la dunia walahi hawa waarabu walivyo na mahaba na Tanzania wangetuwezesha kuchukua kombe kwenye ardhi ya kwao piga ua
 
Toka juzi tumewaambia washamba waliodhani tz imelipia tangazo
UAE ni tajiri jamani hana njaa kama wengi wasio na exposure wanavyodhani!
 
Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..

Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.

Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu na Umoja wa Falme za Kiarabu.

Utawala wa Dubai umeweka tangazo hilo kwa kutambua ziara ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kaifanya Dubai na umeahidi kuendelea kuitangaza Tanzania kupitia jengo hilo maarufu.

Pia soma

===
GHARAMA zilizoelekezwa na mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya US$ 67,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki TZS 150M kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote hilo la Burj Khalifa.

=>Gharama kwa lisaa limoja ni jumla ya TZS 3BL,

=> Gharama kwa siku moja ni TZS42BL

=> Gharama kwa siku 30 ni TZS 2.2Trilioni,

=>Kwasababu ya mahusiano mazuri kati ya mamlaka za Tanzania na Dubai tumepewa kujitangaza bure Kabisa kwa siku 30,

Nani Kama Rais Samia Suluhu Hassan?

Hoja yangu ni nini hapa,

Kwanza, Huu ni ushahidi wa wazi kwamba sasa ni rasmi Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefunguka Kitaifa & Kimataifa,

Pili,Kupitia matangazo haya Tanzania inakwenda kupata idadi kubwa sana ya wawekezaji wa nje na watalii ambao pengine haijawahi kuwashuhudia tangu Uhuru wake,

Tatu,Rais Samia anakuwa ni Rais mwenye ushawishi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara ndani ya muda huu mfupi ( rejelea ziara zake za Ufaransa na Ubelgiji )

Nne, Burj Khalifa ni taasisi yenye zaidi ya followers 10M kwenye akaunti zake za Tweeter, facebook,Telegram na Instagram na nimejaribu kupitia accounts hizi Tanzania ina-trend kwa kasi,

IMG_20211029_105959.jpg
 
Yale Yale ya Jiwe,kishindo Cha awamu ya Tano,eti tunajenga kwa pesa ya ndani!!
Sasa tumejua alikuwa anakopa kama kichaa.
Miaka kadhaa ijayo ndio tutajua hatujuhi,itakapodhihirika kuwa ile muvi ya mama ya kutangaza utalii,tumepigwa,hili tangazo tumepigwa,ma ccm ni mahongo,zaidi ya shetani.
 
Hii inji hii in Mrema’s voice
Ni mambo ya hovyo kila kukicha
 
Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..

Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.

Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu na Umoja wa Falme za Kiarabu.

Utawala wa Dubai umeweka tangazo hilo kwa kutambua ziara ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kaifanya Dubai na umeahidi kuendelea kuitangaza Tanzania kupitia jengo hilo maarufu.

Pia soma

===
GHARAMA zilizoelekezwa na mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya US$ 67,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki TZS 150M kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote hilo la Burj Khalifa.

=>Gharama kwa lisaa limoja ni jumla ya TZS 3BL,

=> Gharama kwa siku moja ni TZS42BL

=> Gharama kwa siku 30 ni TZS 2.2Trilioni,

=>Kwasababu ya mahusiano mazuri kati ya mamlaka za Tanzania na Dubai tumepewa kujitangaza bure Kabisa kwa siku 30,

Nani Kama Rais Samia Suluhu Hassan?

Hoja yangu ni nini hapa,

Kwanza, Huu ni ushahidi wa wazi kwamba sasa ni rasmi Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefunguka Kitaifa & Kimataifa,

Pili,Kupitia matangazo haya Tanzania inakwenda kupata idadi kubwa sana ya wawekezaji wa nje na watalii ambao pengine haijawahi kuwashuhudia tangu Uhuru wake,

Tatu,Rais Samia anakuwa ni Rais mwenye ushawishi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara ndani ya muda huu mfupi ( rejelea ziara zake za Ufaransa na Ubelgiji )

Nne, Burj Khalifa ni taasisi yenye zaidi ya followers 10M kwenye akaunti zake za Tweeter, facebook,Telegram na Instagram na nimejaribu kupitia accounts hizi Tanzania ina-trend kwa kasi,
Watu wajinga, wenye wivu na chuki na Samia wanahangaika Sana.

Hata ikibidi kulipa ,alipe tuu;mil.200 kwa faida tutakayopata kama Nchi ni kitu gani?

Utalii unagombewa na kila Nchi afu mtu anaropoka.Hiyu hapa Museven akipigia chapuo utalii wa Nchi yake ,dizaini ya Royal tour👇

Screenshot_20220302-092052.png

Screenshot_20220302-092123.png

Screenshot_20220302-092034.png
 
Wewe unatumia JF,bure,umewaahidi nini JF?

Huu mfano wako embu uchunguze tena kama unafa kuwa humu, ama unataka tujue ulivyo mtupu kichwani?

Maana siku ukijua situmii JF bure utajicheka. hata wewe utajicheka.

Hakuna cha bure dunia hii.

Hata ziwa la mama ako tu unalilipia.utaniuliza kama unapenda nifafanue).
 
Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya..

Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai.

Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi yetu na Umoja wa Falme za Kiarabu.

Utawala wa Dubai umeweka tangazo hilo kwa kutambua ziara ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kaifanya Dubai na umeahidi kuendelea kuitangaza Tanzania kupitia jengo hilo maarufu.

Pia soma

===
GHARAMA zilizoelekezwa na mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burj Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya US$ 67,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki TZS 150M kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote hilo la Burj Khalifa.

=>Gharama kwa lisaa limoja ni jumla ya TZS 3BL,

=> Gharama kwa siku moja ni TZS42BL

=> Gharama kwa siku 30 ni TZS 2.2Trilioni,

=>Kwasababu ya mahusiano mazuri kati ya mamlaka za Tanzania na Dubai tumepewa kujitangaza bure Kabisa kwa siku 30,

Nani Kama Rais Samia Suluhu Hassan?

Hoja yangu ni nini hapa,

Kwanza, Huu ni ushahidi wa wazi kwamba sasa ni rasmi Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imefunguka Kitaifa & Kimataifa,

Pili,Kupitia matangazo haya Tanzania inakwenda kupata idadi kubwa sana ya wawekezaji wa nje na watalii ambao pengine haijawahi kuwashuhudia tangu Uhuru wake,

Tatu,Rais Samia anakuwa ni Rais mwenye ushawishi zaidi kusini mwa jangwa la Sahara ndani ya muda huu mfupi ( rejelea ziara zake za Ufaransa na Ubelgiji )

Nne, Burj Khalifa ni taasisi yenye zaidi ya followers 10M kwenye akaunti zake za Tweeter, facebook,Telegram na Instagram na nimejaribu kupitia accounts hizi Tanzania ina-trend kwa kasi,

Hivi bado kuna watu wanaiamini serikali kwenye kauli zake. Waziri mkuu mwenyewe aliwahi kutoa kauli ya uongo kipindi mwendazake anaumwa. Sembuse msemaji wa serikali?
 
Ni kwa sababu Loliondo ni sehemu ya Etisalat chini ya utawala wa OBC, waarabu wawindaji kutoka Emirate.
Kwa hiyo ni exchange business, mwarabu chukua ngorongoro masai weka tangazo kwenye mnara pale emirates......biashara ya namna hii aliwahi kuifanya chifu mangungo wa kule msovero, sikumbuki ni lini............
 
Back
Top Bottom