pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Nimeipenda hii sana mkuu, tatizo nchi kwa sasa hakuna usikivu, ni maamuzi kutoka juu tu.Hela yote iliyotumika kwenye SGR, ndege, Bwawa, kuuwa upinzani,nk Kama zingewekezwa kwenye kilimo zingesharudi Mara tatu. Na tusingehitaji mikopo.
. Fungua mipaka
.jenga viwanda vya zana za kilimo
.futa kabisa ushuru chochote kuhusu kilimo
.lima mazao yenye uhitaji Mkubwa duniani korosho, chikichi, alizeti, mtama, mahindi, mpunga, parachichi, katani, nk
.ongeza thamani mazao.
.
.
.
Tungepata pesa nyingi Sana za kigeni na tusingehitaji mikopo.
Tatizo la ajira lingetoweka.
Akili kusoda, like father like sonHujaongea kitu bali umeropoka tu; na hilo ndilo tatizo la watu wengi wa aina yako wanapingana na magufuli, hawaongei kitu cha maana bali huropokaropoka na kulalamika tu. Kuamini kuwa kuna siri ambayo CHADEMA wasingeijua kutokea huko Canada na South Africa ni ukosefu wa akili, kwani maswala hayo hayakuamliwa na mahakama za Tanzania.
Ni Hadi uwe na global vision, global exposure.Na sio ubabe styleHatuna jeuri mbele ya mabeberu. Cha muhimu ni Jiwe kutambua falsafa ya JK "ukitaka kula vya watu kubali kuliwa".
haya 'maamuzi ya barabarani' yamesha tu-cost mno mno na bado!Shilingi bilion 700 za ujenzi wa daraja la Busisi zingeingia kwenye barabara au hata Stieglers zingefanya kitu kikubwa zaidi.
Kule Busisi wananchi walikuwa wanahitaji vivuko vizuri tu kwa sasa kwanza
there you are again!Akili kusoda, like father like son
Hukunielewa nasema ukileta ufisadi kwa mchina yeye hajali masuala ya haki za binadamu. Kama kusingalikuwa na uhitaji wa maini wafungwa wasingetolewa hayo maini.China mfungwa ni kama mtumwa, na biashara ya viungo vya binadamu imeshamiri sana. Wazungu wananunua sana maini ya binadamu kutoka China baada ya unywaji wa pombe uliopitiliza kuharibi maini yao. Waarabu ni figo kutokana na kisukari na magonjwa ya moyo ya muda mrefu. China inatuhumiwa kuuza viungo vya wafugwa kwa wateja kutoka nje. Hili pia limesababishwa na rushwa ya viongozi wetu wa Africa!
Akili kisodathere you are again!
Hapo hapahitaji "urafiki"Magufuli hana rafiki; kwa hiyo hashindwi kabisa kuwakatalia Wachina papo kwa papo wakileta masharti asiyokubaliana nayo.
Mkuu kwanza hakuna makubaliano au mkataba hadi sasa.Binafsi naona serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa reli ya kisiasa (SGR).
Kwa mtazamo wangu, sababu ni hizi:
1. Miradi hii imeshaanza kutekelezwa, hivyo ni lazima tupambane iishe vinginevyo itakuwa ni aibu na pigo kisiasa.
2. Tumeshatangaza kwa umma na dunia kuwa miradi hii ni lazima ikamilike na ahadi hii kwa watanzania teyari ni deni la kisiasa na pia ikifeli ni kete kwa wapinzani.
3. Tumeshaingia mikataba na wakandarasi na sijui kama mikataba tulioingia inatambua kusitishwa kwa mradi wakati wowote ule na kwasababu yoyote ile bila kuwa na gharama ya kusitisha mradi husika.
4. Kitaalamu sijui kama inawezekana/ inashauriwa kusitisha miradi ya aina hii pale inapokuwa tayari imeshaanza kutekelezwa.
5. Kusimamisha miradi hii kwa muda sidhani kama ndio itakuwa ni kusimamisha gharama za mradi kwa asilimia 100 ili hali mitambo na vitu vingine tayari viko site na kazi ya ujenzi tayari ilishaanza.
Hivyo basi, kwa kuzingatia sababu hizo hapo juu na nyingine ambazo inawezekana sijazitaja, sioni kama tutaingia kwenye meza ya mazungumzo tukiwa na jeuri ya kukataa mashariti magumu iwapo yatatolewa na Wachina au mtu mwingine yeyote atakaekuwa tayari kuokoa jahazi kwa kuwekaza fedha zake katika hii miradi.
Vile vile sidhani kama mchina au mtu mwingine yeyote ataacha ku-take advantage ya hali hii kutunyonya tofauti na ku-negotiate wakati mradi/miradi bado haijaanza kutekelezwa.
Tusubiri.
we kibaraka wa wachina zama za kuwategemea wafadhili wa kichina zimepitwa na wakati sasa mfadhili mkuu ni kodi zetu onlyBinafsi naona serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa reli ya kisiasa (SGR).
Kwa mtazamo wangu, sababu ni hizi:
1. Miradi hii imeshaanza kutekelezwa, hivyo ni lazima tupambane iishe vinginevyo itakuwa ni aibu na pigo kisiasa.
2. Tumeshatangaza kwa umma na dunia kuwa miradi hii ni lazima ikamilike na ahadi hii kwa watanzania teyari ni deni la kisiasa na pia ikifeli ni kete kwa wapinzani.
3. Tumeshaingia mikataba na wakandarasi na sijui kama mikataba tulioingia inatambua kusitishwa kwa mradi wakati wowote ule na kwasababu yoyote ile bila kuwa na gharama ya kusitisha mradi husika.
4. Kitaalamu sijui kama inawezekana/ inashauriwa kusitisha miradi ya aina hii pale inapokuwa tayari imeshaanza kutekelezwa.
5. Kusimamisha miradi hii kwa muda sidhani kama ndio itakuwa ni kusimamisha gharama za mradi kwa asilimia 100 ili hali mitambo na vitu vingine tayari viko site na kazi ya ujenzi tayari ilishaanza.
Hivyo basi, kwa kuzingatia sababu hizo hapo juu na nyingine ambazo inawezekana sijazitaja, sioni kama tutaingia kwenye meza ya mazungumzo tukiwa na jeuri ya kukataa mashariti magumu iwapo yatatolewa na Wachina au mtu mwingine yeyote atakaekuwa tayari kuokoa jahazi kwa kuwekaza fedha zake katika hii miradi.
Vile vile sidhani kama mchina au mtu mwingine yeyote ataacha ku-take advantage ya hali hii kutunyonya tofauti na ku-negotiate wakati mradi/miradi bado haijaanza kutekelezwa.
Tusubiri.
Mzee wala usitumie nguvu nyingi kujibishana na hawa nyumbu wako hapa kama fisi wanasubiri mkono udondoke...wanavyoongelea utadhani hii miradi haiwahusu wao..all in all sema vyote kuhusu China Ila ndo nchi pekee iliyosaidia kufanya uwekezaji mkubwa kwenye nchi maskini..hayo mengine kunyonywa ni maamuzi binafsi kwani mikataba inasainiwa na watu wanaojielewa...wanamsema mchina wakati mzungu yeye anawekeza kwenye condom na vita tu...miundombinu kakaa pembeni..tufanye kazi aiseeMkuu kwanza hakuna makubaliano au mkataba hadi sasa.
Pili Magufuli huyu huyu ndie alikataa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo baada ya kugundua mapungufu wa mradi.Kwa mantiki hiyo hataingia kijinga kama watangulizi wake.
Tatu China analipa fadhila za Tanzania kumuweza kurudishwa Umoja wa Mataifa, labda ndio tofauti China anavyozichukulia nchi nyingine.
Nne China ameichukulia Tanzania kuwa taifa linalozungukwa na mataifa mengi sana kama mlango wa biashara na usalama wa mataifa hayo.
Lakini pammoja na hayo China ndie nchi yenye miradi yenye wakandarasi wengi sana kwa miradi mikubwa hadi midogo kuliko taifa lolote hapa Bongo.Hivyo kumpa msaada Tanzania ni jambo lilio wazi.
Hata hivyo maliasili, madini yanayopatikana Tanzania yanahitajika China kwa wingi.
Pamoja na hayo Tanzania isibweteke na maneno mazuri ya China.Yawezekana ni mbinu za ukoloni mamboleo.
kurahisisha usafiri wa kwenda burigi- chatoSasa mtu anapita karibu na Ziwa, anasema mimi nafikiri tujenge daraja hapa ziwani anaagiza palepale mchakato uanze na pes zitengwe bila kuangalia kwanza pririty ni nini.
Shilingi bilion 700 za ujenzi wa daraja la Busisi zingeingia kwenye barabara au hata Stieglers zingefanya kitu kikubwa zaidi.
Kule Busisi wananchi walikuwa wanahitaji vivuko vizuri tu kwa sasa kwanza
Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa reli ya kisiasa (SGR).
Kwa mtazamo wangu, sababu ni hizi:
1. Miradi hii imeshaanza kutekelezwa, hivyo ni lazima tupambane iishe vinginevyo itakuwa ni aibu na pigo kisiasa.
2. Tumeshatangaza kwa umma na dunia kuwa miradi hii ni lazima ikamilike na ahadi hii kwa watanzania teyari ni deni la kisiasa na pia ikifeli ni kete kwa wapinzani.
3. Tumeshaingia mikataba na wakandarasi na sijui kama mikataba tulioingia inatambua kusitishwa kwa mradi wakati wowote ule na kwasababu yoyote ile bila kuwa na gharama ya kusitisha mradi husika.
4. Kitaalamu sijui kama inawezekana/ inashauriwa kusitisha miradi ya aina hii pale inapokuwa tayari imeshaanza kutekelezwa.
5. Kusimamisha miradi hii kwa muda sidhani kama ndio itakuwa ni kusimamisha gharama za mradi kwa asilimia 100 ili hali mitambo na vitu vingine tayari viko site na kazi ya ujenzi tayari ilishaanza.
Hivyo basi, kwa kuzingatia sababu hizo hapo juu na nyingine ambazo inawezekana sijazitaja, sioni kama tutaingia kwenye meza ya mazungumzo tukiwa na jeuri ya kukataa mashariti magumu iwapo yatatolewa na Wachina au mtu mwingine yeyote atakaekuwa tayari kuokoa jahazi kwa kuwekaza fedha zake katika hii miradi.
Vile vile sidhani kama mchina au mtu mwingine yeyote ataacha ku-take advantage ya hali hii kutunyonya tofauti na ku-negotiate wakati mradi/miradi bado haijaanza kutekelezwa.
Tusubiri.
Naona point kwenye uzii huu, ngoja nifikiri kidogo nitarejea baadae. Linanikumbusha tricks za negotiations if you are compromised you stand a good chance of losing ground.Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa reli ya kisiasa (SGR).
Kwa mtazamo wangu, sababu ni hizi:
1. Miradi hii imeshaanza kutekelezwa, hivyo ni lazima tupambane iishe vinginevyo itakuwa ni aibu na pigo kisiasa.
2. Tumeshatangaza kwa umma na dunia kuwa miradi hii ni lazima ikamilike na ahadi hii kwa watanzania teyari ni deni la kisiasa na pia ikifeli ni kete kwa wapinzani.
3. Tumeshaingia mikataba na wakandarasi na sijui kama mikataba tulioingia inatambua kusitishwa kwa mradi wakati wowote ule na kwasababu yoyote ile bila kuwa na gharama ya kusitisha mradi husika.
4. Kitaalamu sijui kama inawezekana/ inashauriwa kusitisha miradi ya aina hii pale inapokuwa tayari imeshaanza kutekelezwa.
5. Kusimamisha miradi hii kwa muda sidhani kama ndio itakuwa ni kusimamisha gharama za mradi kwa asilimia 100 ili hali mitambo na vitu vingine tayari viko site na kazi ya ujenzi tayari ilishaanza.
Hivyo basi, kwa kuzingatia sababu hizo hapo juu na nyingine ambazo inawezekana sijazitaja, sioni kama tutaingia kwenye meza ya mazungumzo tukiwa na jeuri ya kukataa mashariti magumu iwapo yatatolewa na Wachina au mtu mwingine yeyote atakaekuwa tayari kuokoa jahazi kwa kuwekaza fedha zake katika hii miradi.
Vile vile sidhani kama mchina au mtu mwingine yeyote ataacha ku-take advantage ya hali hii kutunyonya tofauti na ku-negotiate wakati mradi/miradi bado haijaanza kutekelezwa.
Tusubiri.
Japo sijaona polisi wa kihindi au kiarabu Tanzania lakini nauliza je mchina hawezi kuwa raia wa Zambia na akapatiwa fursa yoyote ile?
kama tuliwagomea mabeberu,mchina hawezi kutuyumbisha,ni sisi ndio tunapanga masharti ya kukopaBinafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa reli ya kisiasa (SGR).
Kabombe: unazungumza ukweli? au utani?kama tuliwagomea mabeberu,mchina hawezi kutuyumbisha,ni sisi ndio tunapanga masharti ya kukopa
unafahamu kwamba SGR ilikua apewe mchina?pesa ilikua tayari ya kumaliza mradi wote kwa 100%,lakin kwa uzalendo wetu tukakataa gharama zilikua kubwa mno