pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Nimeipenda hii sana mkuu, tatizo nchi kwa sasa hakuna usikivu, ni maamuzi kutoka juu tu.Hela yote iliyotumika kwenye SGR, ndege, Bwawa, kuuwa upinzani,nk Kama zingewekezwa kwenye kilimo zingesharudi Mara tatu. Na tusingehitaji mikopo.
. Fungua mipaka
.jenga viwanda vya zana za kilimo
.futa kabisa ushuru chochote kuhusu kilimo
.lima mazao yenye uhitaji Mkubwa duniani korosho, chikichi, alizeti, mtama, mahindi, mpunga, parachichi, katani, nk
.ongeza thamani mazao.
.
.
.
Tungepata pesa nyingi Sana za kigeni na tusingehitaji mikopo.
Tatizo la ajira lingetoweka.