Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Habarini wanajukwaa na watanzania tunaokamuliwa na wajanja wachache. Yaani inakuwaje jamani watu Kama watano tu wanatuendesha sie nyumbu. Tunamcheka nyumbu 10k wanakimbia chui 5 Ila na sie hatuna tofauti.
Wanatumia nyumbu wenzetu maaskari kutudhibiti tunaotaka kuwatetea Mana watt wao wanasoma za bure Kama wetu wakati hao wanaotukamua wanasomesha huko Hopac.
Niende kwa kisa jamani.
Hii stendi imefunguliwa nikiwa hapa hapa mjini Ila sikuwa na shida nikashangae Mana najua kuwa nitaenda tu.
Sasa leo Kuna mzigo nilikuwa nautuma ambao Ni ndoo za rangi 10 na tairi za bajaji.
Sasa eti nimeingia na Kenta ndani kwanza jamaa akanikata 200 mie ya kuingia iyo sawa. Gari dereva akaachwa Mana akiwa anatoka analipa alfu moja ameniambia Ila Sina uhakika.
Kilichonishangaza Sasa eti Kuna alfu moja kila ndoo na kila tairi shilingi 5000. Maelezo yake eti kwa ajili ya eti ya uchafuzi wa stendi kiss nimeingia na mzigo Mana nitachafua stendi.
Sasa rangi iko kwenye ndoo itachafua kweli na tairi. Naomba nieleweshwe ama kisa umechaguliwa na watu na unatunga chochote unachojisikia kutunyonya. Yaani nasema ivi ongezeni unyonyaji baadaye mtapata majibu.
Wajanja mmeshika nchi Tena wa mjini inataka kuwashinda Mana mmemdedisha mchunga ng'ombe mwenzetu.
Sasa risiti hizi za mzigo
Nimenunua mzigo nikapakia kwa gari nikalipa upandishaji,nikalipa kenta mpaka nyamhongolo,Kuna kushusha Ni hela nimepandisha kwa Basi Ni hela,huko inakoenda itashushwa na itasafirishwa mpaka dukani ama nyumbani Ni hela na bado stendi nilipe eti uchafuzi jamani kweli hii Ni halali.
Cheki gharama zote hizo hapo kwani nilizolipa mie nitabakia na Nini nitauzaje na naamie nitaipataje kafaida. Mbona sehemu kubwa mmmeweka mifumo ya kutukamua mpaka shit itaisha.