Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gazeti liko wapi? Ulitaka viongozi watembelee kirikuu?Taarifa hii ya kusikitisha imeandikwa na gazeti la THE CITIZEN .
Ikumbukwe kwamba nchi ya Tanzania hununua magari ya kifahari hata kwa viongozi duni wenye vyeo vya chini kama MA RC...
Kuna nafasi zingine ni duplicates tu zingefutwa kupunguza gharamaTaarifa hii ya kusikitisha imeandikwa na gazeti la THE CITIZEN...
Yanabamizwa kila kukichawanunue kwa awamu;wote gari hilo hilo kwa miaka ya serikali madarakani.
Naona dume zima unakata kiuno hapo LumumbaGazeti liko wapi? Ulitaka viongozi watembelee kirikuu?
Harafu sio magari ya viongozi tuu bali magari ya Taasisi zote za umma..
Hata kama serikali itaondoa hiyo cost haina maana kwamba tozo zitaondoka kwa sababu mahitaji ni makubwa kuliko kawaida.
Ungependelea mkuu wa mkoa aendeshe Vits au speciou, kumbuka kwamba viongozi wa kisiasa wengi kutoka Africa wanatoka kwenye familia duni ki uchumi kupata cheo kwa ni kula na starehe sio kuhudumia wananchiTaarifa hii ya kusikitisha imeandikwa na gazeti la THE CITIZEN .
Ikumbukwe kwamba nchi ya Tanzania hununua magari ya kifahari hata kwa viongozi duni wenye vyeo vya chini kama MA RC , MA DC na MA DED , hela hizo ni kwa kila mwaka , na yaweza kuongezeka kutokana na hali ya uchumi wa kidunia
Taarifa iliyotolewa haikuweka wazi kiasi cha hela zinazotumika kwenye manunuzi ya mafuta ya mashangingi ya viongozi hao
Hakuna la kuwatetea. 😤Yanabamizwa kila kukicha
Na wewe kakate ufipa 👇Naona dume zima unakata kiuno hapo Lumumba
Bado Mwigulu ana tuletea tozo zake za Iramba. Wizi mtupuTaarifa hii ya kusikitisha imeandikwa na gazeti la THE CITIZEN .
Ikumbukwe kwamba nchi ya Tanzania hununua magari ya kifahari hata kwa viongozi duni wenye vyeo vya chini kama MA RC , MA DC na MA DED , hela hizo ni kwa kila mwaka , na yaweza kuongezeka kutokana na hali ya uchumi wa kidunia
Taarifa iliyotolewa haikuweka wazi kiasi cha hela zinazotumika kwenye manunuzi ya mafuta ya mashangingi ya viongozi hao
Yanabamizwa kila kukicha
Yanabamizwa na Gharama zinapanda zaidi za mabilioni yaliyotajwa. Mko sawa Wakuu.Gharama za Matengenezo ni kiasi gani?
Mana hapa kataja manunuzi tu
nje mno ya madaNa wewe kakate ufipa [emoji116]
Kwa mfano V8 kwa DC kama wa Temeke la kuendea wapi ? Kwa mpalange , Yombo au Keko Mwanga ?Gazeti liko wapi? Ulitaka viongozi watembelee kirikuu?
Harafu sio magari ya viongozi tuu bali magari ya Taasisi zote za umma..
Hata kama serikali itaondoa hiyo cost haina maana kwamba tozo zitaondoka kwa sababu mahitaji ni makubwa kuliko kawaida.
Ni kweli, ingekuwa kama kwa wafanyakazi wengine tu wanatumia usafiri binafsi, ila kwakuwa Tanzania tunapenda fahari zaidi ya uhalisiaImagine huduma ngapi za kijamii wangeweza kufanya.
Wana uwezo wa kusema kila mwajiriwa aje na gari lake, wape mshahara mzuri na allowance ya usafiri, itapunguza gharama
Umaskini wa nchi hii ni wa kujitakia