Serikali hutumia Tsh. Billion 558 kununua magari kwa mwaka

Ningekuwa rais magari haya ndio wangetembelea viongozi Hawa.

Rais,makamu na wazuri mkuu wasingetembelea VX VXR

hao watatu ningenunua Mercedes Benz sprinter au Mercedes Benz V Class. Bei cheap kuliko VXR ningezimodified zile bullet proof.

Wangejaza humo na walinzi wao inafanya ziwe chache barabarani.

Mawaziri wangetembea surf new model mtumba.

RCs wote wangembelea pia Surf new model mtumba.

DCs wote wangetembea pickup double cabin mpya hizi za tamisemi

Maded,ma mayor ,wenyeviti wote ni pickup double cabins hutaki unaacha ofisi

Ukitaka VXR nunua kwa pesa Yako.

Sema.gari zao watabadilishiwa Kila miaka 5 so wazitunze vizuri.
 
TATIZO KUBWA LA NCHI HII NI VIONGOZI KUKOSA MAARIFA
 
nadhani uandishi wake uko sawa kiongozi bora alikuwa mmoja tu nchi hii na ameacha Alama kuanzia stesheni hadi Pugu utaona zile nguzo za kupitisha garimoshi la umeme juu kwa juu!wengine viti maalum tu!!

Siku moja nilimsikia PM akilalamikia madalali wa kuleta hayo magari wanakamua madolari mabilioni akahoji tu badala ya serikali kwenda wenyewe kiwandani kufanya order!!

nchi ya Watu wajinga pia hupata viongozi wajinga na duni! Garbage in Garbage out!!

Yaani cha kujiuliza hizo pesa za magari zingejenga barabara ngapi za lami? zahanati ngapi? Bwana Miguu angetuwekea nyasi bandia viwanja vingapi? nadhani zaidi ya vitano alivyoahidi hadi leo bado ligi imeshatimua vumbi! ametuboa sana!!!
 
Waongeze tozo zaidi ili viongozi wanunuliwe Roalroyce au bughati
 

Na Sasa hivi wanaruhusiwa kuyanunua pole pole.
 
Gazeti liko wapi? Ulitaka viongozi watembelee kirikuu?

Harafu sio magari ya viongozi tuu bali magari ya Taasisi zote za umma..

Hata kama serikali itaondoa hiyo cost haina maana kwamba tozo zitaondoka kwa sababu mahitaji ni makubwa kuliko kawaida.

Mpaka tufike 2025 kitakuwa na tozo ya nauli ya mabasi. Kila unapokata tiketi unalipia tozo. Tozo hazisaidii kwa mfumo wa nchi yetu, zitaliwa na kutapanywa.
 
Huu u ngese wa kiwango cha lami tunajenga nchi. Wananchi inabidi tufanye msako hizi dudes matumizi yao hasa kwenye bunge na executive .mahakama ni kama wanafanana fanana na sisi kwa mbali ila hawa wawili ni shiiida
 
Shangingi la mshika kibubu ni Tsh 500,000,000 tasilimu
 
Gazeti liko wapi? Ulitaka viongozi watembelee kirikuu?

Harafu sio magari ya viongozi tuu bali magari ya Taasisi zote za umma..

Hata kama serikali itaondoa hiyo cost haina maana kwamba tozo zitaondoka kwa sababu mahitaji ni makubwa kuliko kawaida.
You're simply a wasted sperm. Mzee wako akiangalia hiki ulichoandika hapa, nadhani atajutia sana kutokutumia condom!

Jitu lenyewe linaandika "harafu", alafu linajitoa fahamu kuwatetea akina mwigulu ambao watoto wao wanajua kuandika kulizidi.

Watu wanalalamika ili kuliokoa taifa, wewe unakuja kusifia bwana zako ili unufaishe tumbo lako, shame on you!

Now I'm convinced, abortion can save humanity from some problems caused by idiots like this mofo!
 
Sperm ya mbwa huna ulijualo Kuhusu Uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…