Serikali iache kujaza vyuo mikoa michache, Ni upendeleo wa wazi kutumia rasilimali za taifa kujenga vyuo mikoa michache huku mikoa mingine hakuna vyuo

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Muhimu: Ni nje ya vyuo kama open university chenye matawi kila mkoa, Pia kwa vyuo vya kati vya ufundi, nursing, ualimu, utalii, hotel management, n.k.

Tanzania Bara kuna mikoa 26 inayoshiriki kuchangia pato la taifa lakini cha kusikitisha vyuo vya serikali vipo concetrated sehemu chache

Dar es Salaam na Dodoma ni exception kwasababu ni miji mikuu ya nchi na kuna mchanganyiko wa watu kutoka mikoa 26 ya Tanzania.

Shida inakuja kuna baadhi ya mikoa imekuwa na vyuo vingi wakati huo kuna mikoa ina chuo kimoja, viwili ama hakuna kabisa.

Mfano ni Mbeya kuna vyuo kama NANE vya serikali, vimejengwa na vinaendeshwa kwa kodi za wananchi wa mikoa 26 ya Tanzania
  • UDSM college of Health
  • MZUMBE
  • MUST
  • TIA
  • CBE
  • ADEM
  • UCC
Mwanza kuna vyuo kama SITA vya serikali
  • IFM
  • TIA
  • UCC
  • IAA
  • DIT
  • MIPANGO

MADHARA YAKE

Uwiano usio wa haki wa wahitimu wa vyuo vikuu - Mikoa yenye vyuo vikuu vingi, kama Mbeya na Mwanza, inatoa nafasi nyingi zaidi kwa wakazi wa maeneo hayo kutoa wahitimu wengi

Gharama kubwa za elimu kwa wanafunzi wa mikoa mingine - Wanafunzi kutoka mikoa isiyo na vyuo wanalazimika kutumia gharama zaidi kwenye usafiri, kulipia hostel, n.k, wakati wenzao wanaweza kuishi na kula nyumbani.

Kuwepo kwa ushindani usio wa haki katika soko la ajira - Mikoa yenye vyuo vikuu vingi ina nafasi kubwa ya kuzalisha wahitimu wengi, ambao wanakuwa na sifa za kuajiriwa

Kudhoofisha maendeleo ya kitaifa - Kutokuwa na uwiano mzuri wa upatikanaji wa elimu ya juu kunasababisha kutokuwa na usawa katika maendeleo ya kitaifa.

Kubana maendeleo ya kielimu kwa watu wenye mahitaji maalum - watu wenye mahitaji maalum wanaweza kushindwa kuhamia mikoa ya mbali kwa sababu ya changamoto za afya, usalama, na kifamilia

USHAURI WANGU.

Mipango ya kujenga vyuo mikoa iliyojaza vyuo ipigwe stop, mikoa imejaza sana vyuo mpaka vya private, Ni zamu ya mikoa mingine kujengewa vyuo kama Njombe, Bukoba, Ruvuma, Mara, Rukwa, Katavi, n.k. lengo kupata uwiano wa idadi ya vyuo vya serikali kwa mikoa yote nje ya Dar na Dodoma, maendeleo ya elimu ya juu yawe na balance
 
Hapo zamani vyuo vilikuwepo Dar, Watu wa mikoa mbali mbali walilazimika kuja Dar kusoma vyuoni,

Dodoma ni makao makuu ya nchi, hivyo haileti maswali kwa vyuo vingi kujengwa

Shida inakuja kuna baadhi ya mikoa imekuwa na vyuo vingi sana wakati kuna mikoa ina vyuo vichache ama hakuna kabisa

Mfano ni Mbeya kuna vyuo kama saba vya serikali,

Mwanza kuna vyuo kama vinne vya serikali

Ukija mikoa mingine kuna chuo kimoja au viwili,

Sina shida na vyuo vya provate, hawa wanajigharamia wenyewe na kujiendesha kivyao.
Kwa hili naunga mkono hoja ila serikali hii sikivu ya Rais Samia itafanya makubwa upande huo hivi karibuni
 
Tunaposema CCM Huwa ni wajinga sana,watu wawe wanatuelewa.

Hakuna eneo CCM kafanikiwa ni hovvyo hovyo, hovyo bin hovyo.
 
Muhimu: Ni nje ya vyuo kama open university chenye matawi kila mkoa, Pia kwa vyuo vya kati vya ufundi, nursing, ualimu, utalii, hotel management, n.k.

Tanzania Bara kuna mikoa 26 inayoshiriki kuchangia pato la taifa lakini cha kusikitisha vyuo vya serikali vipo concetrated sehemu chache

Dar es Salaam na Dodoma ni exception kwasababu ni miji mikuu ya nchi na kuna mchanganyiko wa watu kutoka mikoa 26 ya Tanzania.

Shida inakuja kuna baadhi ya mikoa imekuwa na vyuo vingi wakati huo kuna mikoa ina chuo kimoja, viwili ama hakuna kabisa.

Mfano ni Mbeya kuna vyuo kama NANE vya serikali, vimejengwa na vinaendeshwa kwa kodi za wananchi wa mikoa 26 ya Tanzania
  • UDSM college of Health
  • MZUMBE
  • MUST
  • TIA
  • CBE
  • ADEM
  • UCC
Mwanza kuna vyuo kama SITA vya serikali
  • IFM
  • TIA
  • UCC
  • IAA
  • DIT
  • MIPANGO

MADHARA YAKE

Uwiano usio wa haki wa wahitimu wa vyuo vikuu - Mikoa yenye vyuo vikuu vingi, kama Mbeya na Mwanza, inatoa nafasi nyingi zaidi kwa wakazi wa maeneo hayo kutoa wahitimu wengi

Gharama kubwa za elimu kwa wanafunzi wa mikoa mingine - Wanafunzi kutoka mikoa isiyo na vyuo wanalazimika kutumia gharama zaidi kwenye usafiri, kulipia hostel, n.k, wakati wenzao wanaweza kuishi na kula nyumbani.

Kuwepo kwa ushindani usio wa haki katika soko la ajira - Mikoa yenye vyuo vikuu vingi ina nafasi kubwa ya kuzalisha wahitimu wengi, ambao wanakuwa na sifa za kuajiriwa

Kudhoofisha maendeleo ya kitaifa - Kutokuwa na uwiano mzuri wa upatikanaji wa elimu ya juu kunasababisha kutokuwa na usawa katika maendeleo ya kitaifa.

Kubana maendeleo ya kielimu kwa watu wenye mahitaji maalum - watu wenye mahitaji maalum wanaweza kushindwa kuhamia mikoa ya mbali kwa sababu ya changamoto za afya, usalama, na kifamilia

USHAURI WANGU.

Mipango ya kujenga vyuo mikoa iliyojaza vyuo ipigwe stop, mikoa imejaza sana vyuo mpaka vya private, Ni zamu ya mikoa mingine kujengewa vyuo kama Njombe, Bukoba, Ruvuma, Mara, Rukwa, Katavi, n.k. lengo kupata uwiano wa idadi ya vyuo vya serikali kwa mikoa yote nje ya Dar na Dodoma, maendeleo ya elimu ya juu yawe na balance
Mama anajenga Vyuo Vikuu Kila mkoa.
 
Wagogo wamelala sana kwa idadi ya vyuo pale dodoma wasingejazana mabuchani na kwenye mabar, hili kabila ni vilaza wa kuzaliwa, kazi wanayojua ni kuomba omba
 
Una hoja...ila ujenzi wa vyuo husika kwa sehemu kubwa ni jitihada za wakuu wa vyuo husika na wanazingatia soko la upatikanaji wa wanafunzi.
 
Back
Top Bottom