Mwamba my foot!kumtaja huyo mwamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba my foot!kumtaja huyo mwamba?
Hata kama nchi inasonga mbele kwa tozo za pumzi!!ili mradi nchi imesonga mbele.
Gari ya serikali haipaswi kusafiri zaidi ya saa 12 mkuu. Saa 22 gari ya serikali inapaswa kupaki somewhereNa Kwa wale viongozi ambao magari yao Yana Bendera, je, nao huzifunika Bendera hizo ifikapo jioni hata kama wako safarini?
Wadau mbona hamsemi ipo taarifa Gani🤔Siku hizi imegeuka tabia. Mimi nasema ni tabia isiyo na afya ya serikali kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane. Hili ni jambo la kushangaza sana, najiuliza ni kitu gani kimeisibu serikali Kubehave kama genge la wachawi!.
Sisi tunajua kuwa mida hiyo wananchi wengi wanakuwa wamelala na hata bendera ya nchi inakuwa imeshushwa, Sasa hii ya kutangazia giza maana yake nini?.
Unapotoa taarifa kwa umma wakati watu wamelala unakuwa unataka kitu gani haswa?
Haya mambo ya kufanya kazi gizani ni dalili ya kutojiamini. Baba wa Taifa alikuwa hateui watu usiku na wala alikuwa hatangazi vifo vya viongozi wakubwa Usiku.
Sasa hii ya kufanya kazi gizani kulikoni?
Hii tabia ilianza tangu enzi za Magu kama sikosei.
Siku Ina masaa 24, kati ya hayo ni chini ya 8 tu ndiyo ya kulala. Mtu analala saa ngapi siyo suala la kitaifa ama kidunia. Kila mtu analala muda anao ona unafaa ama amemaloza kazi
Usiku ktk zama hizi maana yake ni "muda wa kupumzika". Siyo jua kuzama. Kuna nchi jua halizami (mchana tupu) na kuna nchi jua halipo kabisa (giza tupu).
Muache mhe rais afanye kazi muda anao ona unafaa na apumzzike atakapomaliza kazi (yaweza kuwa asubuhi, mchana, usiku ama jioni).
Serikali yetu hailali Kama wewe unavyolala , muda wote serikali yetu IPO kazini kuwatumikia watanzania, unapokuwa umelala na kuota ndoto zako kuwa kuwa serikali IPO kazini ndio maana unaona ukilala kwa amani na utulivu, Kama serikali ingelala Basi kuwa kuwa wewe hapo ulipo ungekesha macho kuangalia mlangoni pako
Unazani ukilala wewe na serikali imelala? Iheshimu Sana serikali na upunguze matusi kwa serikali, ujuwe unapata muda wa kuandika utakavyo kwa kuwa tu Kuna amani ambayo inalindwa usiku na mchana na Serikali yetu Hii shupavu chini ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu HassaniSerikali ni mfumo, hapa tunaongelea binadamu ambao usiku hulala. Asilimia 80+ ya ofisi na shughuli za serikali usiku husimama.
Basi nenda wewe ukaonekane kwenye TV uone Kama utakubalika, mh Rais wetu mpendwa anakubalika kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka na kugusa maisha ya watanzania wanyonge, kwa hiyo wewe unaumia Nini mh Rais wetu akionekana na watanzania wakiona kazi anazozifanya na kutekeleza? Unataka afanyie gizani? Watanzania Tunafurahi kumuona mh Rais wetu akiwa anatatua kero zinazokuwa zinatukwamisha kusonga mbeleeUko sahihi kabisa, hii tabia muasisi wake ni Magufuli na mama Samia naye kaiiga. Hata hii tabia ya kila siku rais kuonekana kwenye TV, muasisi wake ni Magufuli. Nadhani washauri wa rais wanadanganyana kuwa mbinu ya raisi kukubalika ni kuwa mubashara kila siku kwenye TV. Wanaamini Magufuli alikubalika kwa kujitangaza kwenye tv kila siku, cha ajabu ilipofika wakati wa kampeni wakaona mwitikio tofauti, na hiyo ndiyo iliyopelekea uchaguzi kunajisiwa.
Tutaliangalia..Sawa mkuu hili nalo litafanyiwa kazi..
HahahSiku hizi imegeuka tabia. Mimi nasema ni tabia isiyo na afya ya serikali kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane. Hili ni jambo la kushangaza sana, najiuliza ni kitu gani kimeisibu serikali Kubehave kama genge la wachawi!.
Sisi tunajua kuwa mida hiyo wananchi wengi wanakuwa wamelala na hata bendera ya nchi inakuwa imeshushwa, Sasa hii ya kutangazia giza maana yake nini?.
Unapotoa taarifa kwa umma wakati watu wamelala unakuwa unataka kitu gani haswa?
Haya mambo ya kufanya kazi gizani ni dalili ya kutojiamini. Baba wa Taifa alikuwa hateui watu usiku na wala alikuwa hatangazi vifo vya viongozi wakubwa Usiku.
Sasa hii ya kufanya kazi gizani kulikoni?
Wamsingizie na tozo basi tuelewe mojaAwamu hii Magu atasingiziwa mengi.hamuwezi kujitetea bila kumtaja huyo mwamba?
Unazani ukilala wewe na serikali imelala? Iheshimu Sana serikali na upunguze matusi kwa serikali, ujuwe unapata muda wa kuandika utakavyo kwa kuwa tu Kuna amani ambayo inalindwa usiku na mchana na Serikali yetu Hii shupavu chini ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani
Hoja dhaifu sana, eti mnataka kuaminisha watu kuwa serikali inafanya kazi sana. Basi ofisi za serikali zifunguliwe masaa 24.Siku Ina masaa 24, kati ya hayo ni chini ya 8 tu ndiyo ya kulala. Mtu analala saa ngapi siyo suala la kitaifa ama kidunia. Kila mtu analala muda anao ona unafaa ama amemaloza kazi
Usiku ktk zama hizi maana yake ni "muda wa kupumzika". Siyo jua kuzama. Kuna nchi jua halizami (mchana tupu) na kuna nchi jua halipo kabisa (giza tupu).
Muache mhe rais afanye kazi muda anao ona unafaa na apumzzike atakapomaliza kazi (yaweza kuwa asubuhi, mchana, usiku ama jioni).
Basi nenda wewe ukaonekane kwenye TV uone Kama utakubalika, mh Rais wetu mpendwa anakubalika kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka na kugusa maisha ya watanzania wanyonge, kwa hiyo wewe unaumia Nini mh Rais wetu akionekana na watanzania wakiona kazi anazozifanya na kutekeleza? Unataka afanyie gizani? Watanzania Tunafurahi kumuona mh Rais wetu akiwa anatatua kero zinazokuwa zinatukwamisha kusonga mbelee
Mimi Kama mkulima naona mchango wa mh Rais wangu mpendwa kuinua maisha yetu wakulima baada ya uamuzi wake wa kuamua kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini iliyopelekea kushuka kwa mbolea, vilevile kwa Sasa soko Ni la uhakika Sana chini ya uongozi wa mh Rais wetu mpendwa na kauli mbiu yake ya kilimo Ni biashara, Nani Kama mama? Kiukweli Hakuna, upinzani mtapata Taabu sanaaAmesimama hapo kutokana na cheo chake na sio kupendwa kwake. Sema matamanio yako ni yeye apendwe, kwani akiendelea kubaki madarakani ww ndio maisha yako yananyooka.