Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Wewe endelea kukuficha kwa ID yako huku ukifurahia matunda ya kazi njema ya mh Rais wetu kulinda amani na nchi kuwa na utulivu muda wote, Nani Kama mama? Kiukweli Hakuna, upinzani mtapata Taabu SanaSerikali ni mfumo nazungumzia watu ambao ndio watendaji wa serikali. Ni wapi naitukana serekali? Maana siku ukitoa maoni yasiyoifurahisha serekali, nyie wapambe tafsiri yenu ni matusi.
Kwa taarifa yako kuandika sio sifa ya amani, bali ni nafasi ya kufanya hivyo. Mimi sijawahi kujivunia uoga ambao kwako unaita amani, mimi ni muumini wa haki fullstop.