Serikali iache kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane

Wewe endelea kukuficha kwa ID yako huku ukifurahia matunda ya kazi njema ya mh Rais wetu kulinda amani na nchi kuwa na utulivu muda wote, Nani Kama mama? Kiukweli Hakuna, upinzani mtapata Taabu Sana
 
Wewe endelea kukuficha kwa ID yako huku ukifurahia matunda ya kazi njema ya mh Rais wetu kulinda amani na nchi kuwa na utulivu muda wote, Nani Kama mama? Kiukweli Hakuna, upinzani mtapata Taabu Sana
Sielewi hata unaoongea utoto gani dogo.
 
Baba wa Taifa alikuwa hateui watu usiku na wala alikuwa hatangazi vifo vya viongozi wakubwa Usiku.
Wakati huo unaouzungumzia hakukuwa wa social media, wala TV kwa huku Bara.
RTD (Redio Tanzania- Dar es Salaam) ilikuwa inafunga matangazo yake saa 5.15 usiku kwa Idhaa ya Biashara na saa 6.00 usiku wa Idhaa ya Taifa.
Hayo matangazo ya usiku wa manane yangetangazwa kwa njia gani? labda kwa bomba au mbiu ya mgambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…