Serikali iache kutujazia tozo kufidia matanuzi yao

Serikali iache kutujazia tozo kufidia matanuzi yao

Ndugu Extrovert unachofanya ni kupigia Mbuzi Gitaa...
Gitaa.jpg

Watanzania kufanya Maamuzi ya namna hio hatuwezi,,,,,labda Vizazi vitakavyokuja hapo baadae....

Watawala wametuona Mazuzu,,,, na hata wewe ukipewa Uongozi bado utatuona Mazuzu tu na Utalamba Asali
 
Kwann kodi ndio iwe msingi wa kuendesha nchi, kodi inatakiwa iwe ni ziada na sio kuwabebesha wananchi mikodi tu
Kodii zimekuwa nyingi maana ata deni la taifa linapanda
Nimejaribu kusoma bajet nimeishia kurasa ya 11 nitaendelea badae
Wao watumizi yao hawapunguzii sababu ni nyingi ila kubwa ni kwamba uwongozi umeshakuwa biashara
 
Pana yule msingida golini usitegemee nafuu yeyeto ye anawaza kuongeza mabus tu. Uongozi ni biashara na sio wito
 
Back
Top Bottom