cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Akati ndo yeye huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado hujamfikia kidukulilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akati ndo yeye huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado hujamfikia kidukulilo
Na wewe unamuamini huyu mleta madaHayo mabasi huwa hawapati ajali
USSR
hili pia nimeona.. huu sio uandishi wake.. jamaa yeye yuko smart sana kwenye uandishi..Huyu mwandishi sio kiduku lilo kwa kuangalia tu ufasaha wake wa Lugha. Kiduku Lilo katika hadithi zake za geresha, alionyesha ufasaha wa lugha katika kuwasilisha hadithi zake kwa hadhira.
Ndo yeye alichange Id na alishasemaga kuhusu hiloHuyu mwandishi sio kiduku lilo kwa kuangalia tu ufasaha wake wa Lugha. Kiduku Lilo katika hadithi zake za geresha, alionyesha ufasaha wa lugha katika kuwasilisha hadithi zake kwa hadhira.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mwanetu sana uyu, anajuaga kututoa stress humuWewe sema unataka kuomba hela ya sikukuu
nlishtuka kusikia kuna maskini mmoja mwanamasumbwi anaitwa Waha Kiduku... wazungu wakadhani tuna undugu naye na kuanza kunishangaa kwa nini nimemwacha ndugu yangu anateseka. nikawaambia hapana sisi kwetu hatuna mtu mwenye mateso.. baadaye nikaona tu niongee na wanasheria wangu ndo wakaruhusu jina a Billionaire Lugano au Bill LuganoEbana boss mkubwa kiduku lilo ilikuaje umebadili id
jamaa nasikia kajipatia mamilion ya pesa kupitia jina languAlisema kule Twitter kuna mtu anatumia jina lake vibaya..Hasa kutapeli watu[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
tulikuwa na vikao sisi wadau mbalimbali kuangalia namna ya kuwasaidia maskini kuhusiana na suala la chanjo za covid n.k but nilikuwa napata salamu zenu kutoka kwa Rais na Viongozi wenu wengine.Karibu sana Boss..ulipotea sana
Inasemekana hivyo...Itabidi umshtaki Boss[emoji2]jamaa nasikia kajipatia mamilion ya pesa kupitia jina langu
[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119][emoji1787]nlishtuka kusikia kuna maskini mmoja mwanamasumbwi anaitwa Waha Kiduku... wazungu wakadhani tuna undugu naye na kuanza kunishangaa kwa nini nimemwacha ndugu yangu anateseka. nikawaambia hapana sisi kwetu hatuna mtu mwenye mateso.. baadaye nikaona tu niongee na wanasheria wangu ndo wakaruhusu jina a Billionaire Lugano au Bill Lugano
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tulikuwa na vikao sisi wadau mbalimbali kuangalia namna ya kuwasaidia maskini kuhusiana na suala la chanjo za covid n.k but nilikuwa napata salamu zenu kutoka kwa Rais na Viongozi wenu wengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tulikuwa na vikao sisi wadau mbalimbali kuangalia namna ya kuwasaidia maskini kuhusiana na suala la chanjo za covid n.k but nilikuwa napata salamu zenu kutoka kwa Rais na Viongozi wenu wengine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nlishtuka kusikia kuna maskini mmoja mwanamasumbwi anaitwa Waha Kiduku... wazungu wakadhani tuna undugu naye na kuanza kunishangaa kwa nini nimemwacha ndugu yangu anateseka. nikawaambia hapana sisi kwetu hatuna mtu mwenye mateso.. baadaye nikaona tu niongee na wanasheria wangu ndo wakaruhusu jina a Billionaire Lugano au Bill Lugano