Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,203
- 2,771
Mmh napata mashaka huyu sio kidukulilo tuliyemzoea, kidukulilo hanaga style hii ya ku reply comment hivi... Yet akisha post anazima data anatuachia uwanja tuserebuke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ivi ni kipindi cha sikukuu wenda atakua likizo na muda wa kutosha.Mmh napata mashaka huyu sio kidukulilo tuliyemzoea, kidukulilo hanaga style hii ya ku reply comment hivi... Yet akisha post anazima data anatuachia uwanja tuserebuke
Mimi hapa nina 9,300 mfukoni.mbona jamaa alikuwa na hela nyingi kwa wallet 280K kabisa
Njoo ghetto nikuongezee 270k ili itimie 280,000/Mimi hapa nina 9,300 mfukoni.
Daaaa halafu jamaa alikuwa na 280,000.
Hiyo ndo posho uliyopewa na bwanako?Njoo ghetto nikuongezee 270k ili itimie 280,000/
Lakini Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Kidukulilo the boss, karibu Sana uwanjani.nlishtuka kusikia kuna maskini mmoja mwanamasumbwi anaitwa Waha Kiduku... wazungu wakadhani tuna undugu naye na kuanza kunishangaa kwa nini nimemwacha ndugu yangu anateseka. nikawaambia hapana sisi kwetu hatuna mtu mwenye mateso.. baadaye nikaona tu niongee na wanasheria wangu ndo wakaruhusu jina a Billionaire Lugano au Bill Lugano
Ila likizo hii umechelewa sana kuingia JF...nlishtuka kusikia kuna maskini mmoja mwanamasumbwi anaitwa Waha Kiduku... wazungu wakadhani tuna undugu naye na kuanza kunishangaa kwa nini nimemwacha ndugu yangu anateseka. nikawaambia hapana sisi kwetu hatuna mtu mwenye mateso.. baadaye nikaona tu niongee na wanasheria wangu ndo wakaruhusu jina a Billionaire Lugano au Bill Lugano
Kuna jamaa anatumia ile kidukulilo kutapelia watu kule twitter so mwamba ndio akaamua aje na id ya Bill LuganoEbana boss mkubwa kiduku lilo ilikuaje umebadili id
Halafu hii kitu kama kakopi idea ya kidukuliloBado hujamfikia kidukulilo