Serikali iangalie matumizi ya IST, Subaru,Altezza, Vitz na usafiri unaofana na hivyo vitu. Kuna Majanga mengi

mbona jamaa alikuwa na hela nyingi kwa wallet 280K kabisa
 
Mmh napata mashaka huyu sio kidukulilo tuliyemzoea, kidukulilo hanaga style hii ya ku reply comment hivi... Yet akisha post anazima data anatuachia uwanja tuserebuke
Sasa ivi ni kipindi cha sikukuu wenda atakua likizo na muda wa kutosha.
 
Kidukulilo the boss, karibu Sana uwanjani.
 
Ila likizo hii umechelewa sana kuingia JF...

Itakuwa mlitakiwa mfanye zamu kabisa ndo mruhusiwe kurudi makwenu!!! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…