#COVID19 Serikali: Ibada za misiba zisizidi dk 30 mpaka saa moja, zingatieni Social Distancing

What is this...ibada ikizidi nusu saa au saa moja ina shida gani?...
Very strange thinking...
 
approach ya kumtanguliza mungu ilitufanya tuidhibiti kirahisi covid kwa mwaka na nusu, tangu tuitangulize science sasa corona inatudhibiti kisawa sawa, yanayoendelea sasa naamini mungu anatuonesha ukuu wake.
 
Tunaishukuru Serikali yetu adhimu kwa tahadhari hii.....

#TahadhariMuhimu
#TujiandaeKwaChanjo
#KaziInaendelea
#NchiKwanza
 
approach ya kumtanguliza mungu ilitufanya tuidhibiti kirahisi covid kwa mwaka na nusu, tangu tuitangulize science sasa corona inatudhibiti kisawa sawa, yanayoendelea sasa naamini mungu anatuonesha ukuu wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni sukuma ganga, pole mkuu
 
approach ya kumtanguliza mungu ilitufanya tuidhibiti kirahisi covid kwa mwaka na nusu, tangu tuitangulize science sasa corona inatudhibiti kisawa sawa, yanayoendelea sasa naamini mungu anatuonesha ukuu wake.
Hatukuwahi kuidhibiti Corona .
 
Mwachieni MBOWE, kwani kawafanyia ugaidi gani?
 
Wakati wa JPM haya maneno ulikuwa huyakumbuku ili uwaeleze watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…