#COVID19 Serikali: Ibada za misiba zisizidi dk 30 mpaka saa moja, zingatieni Social Distancing

Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema

“Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja”
What is this...ibada ikizidi nusu saa au saa moja ina shida gani?...
Very strange thinking...
 
approach ya kumtanguliza mungu ilitufanya tuidhibiti kirahisi covid kwa mwaka na nusu, tangu tuitangulize science sasa corona inatudhibiti kisawa sawa, yanayoendelea sasa naamini mungu anatuonesha ukuu wake.
 
w2fu-1.jpg
 
Tunaishukuru Serikali yetu adhimu kwa tahadhari hii.....

#TahadhariMuhimu
#TujiandaeKwaChanjo
#KaziInaendelea
#NchiKwanza
 
approach ya kumtanguliza mungu ilitufanya tuidhibiti kirahisi covid kwa mwaka na nusu, tangu tuitangulize science sasa corona inatudhibiti kisawa sawa, yanayoendelea sasa naamini mungu anatuonesha ukuu wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni sukuma ganga, pole mkuu
 
approach ya kumtanguliza mungu ilitufanya tuidhibiti kirahisi covid kwa mwaka na nusu, tangu tuitangulize science sasa corona inatudhibiti kisawa sawa, yanayoendelea sasa naamini mungu anatuonesha ukuu wake.
Hatukuwahi kuidhibiti Corona .
 
Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema

“Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja”
Mwachieni MBOWE, kwani kawafanyia ugaidi gani?
 
Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema

“Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja”
Wakati wa JPM haya maneno ulikuwa huyakumbuku ili uwaeleze watanzania.
 
Back
Top Bottom