Serikali iboreshe sheria ya Ndoa za Kikristu ili ziruhusu talaka kuepusha mauaji na fumanizi

Ndio maana nilishakataa Mila za wazungu
Hivi kwenye biblia kuna mzungu, Yesu na manabii wote wa biblia ni wa Israel na asili yao ni Iraq - Ibrahim alikua ni wa Iraq na MUNGU(JEHOVAH) Akamwambia ajitenge na ndugu zake akanzishe taifa ambalo ni Israel ya leo
 
Porojo za bibilia achana nazo unapotea
 
Nadhani utakuwa au na Uwezo mdogo wa kufikiria au utakuwa punguwani. Mkristo akienda mahakamani kutaka talaka mahakama itakataa kumpatia talaka kwakuwa ana ndoa ya Kikristo? Haki ya Mungu una uwezo mdogo sana wa kufikiria. Kwanini kama kitu hukijui usifuatilie kwanza kabla ya kuandika mitandaoni ugolo kama huu?
 
If you say so. I wish you luck!
 
Wivu fumanizi hauna ndoa
Mauaji ya wivu si kwa wanandoa tu hata mahawara wanafumaniana na kuuana. Ndoa za kikristo sheria inaruhusu kuvunjwa mahakamani haijakatazwa labda kama process ni ndefu. Ila kutokuwepo ndoa hakupunguza mauaji ya usaliti wa mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…