Soka Ndio Maisha Yangu
Member
- Nov 27, 2024
- 43
- 127
Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya.
Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi akilalamika kuwa wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki kwenye mdahalo wa uhuru huko Moshi.
Ukifatilia utakuta sio Moshi tu, hata Mtwara, Mara, Tabora, Tanga nk wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki.
This is an insubordination of the highest order.
Hawa ndio wale wanaoshirikiana na akina Mbowe kuvujisha siri za serikali, hawa wako ndani ya serikali kinafiki tu, hawa wanaiua serikali wakiwa ndani ya serikali. Hao ndio wanaovujisha siri za serikali, hao serikali ikipondwa wanaenda kunywa bia na kufurahia, hawajui kuwa chadema wakishika nchi na wao watafyekwa pia, akina Mdude ndio watakuwa watendaji wa kata.
Ushauri wangu kwa vile mdahalo/kongamano limefanyika kila Wilaya basi Wakuu wa Wilaya wafanye tathmini na kuwabaini wale ambao wamepuuza basi serikali ichukue hatua za kinidhamu, serikalini kuna watumishi mamluki sana