Serikali ichunguzeni kampuni ya Mysol, inatesa wananchi

nyapinyapileo

Member
Joined
Oct 19, 2022
Posts
92
Reaction score
215
Wana Jamii Forums nawasalimu nyote

Mimi ni mkazi wa wilaya ya Kibondo hapa mkoani Kigoma. Ninaomba msaada wa kisheria kutokana na ugomvi nilionao na kampuni ya KITAPELI ya sola inayoitwa MYSOL maana tunakoenda naweza kuja kukata kichwa cha mfanyakazi wao nikapata kesi ya mauaji.

Hii kampuni hukopesha mitambo ya sola ambapo mteja hutakiwa kulipa malipo ya awali kutegemea na ukubwa wa sola mfano Tsh.180,000 au 300,000,kisha malipo mengine hutakiwa kulipa kidogokidogo mpaka atakapomaliza mkataba wake.

Hii ni kampuni ya KITAPELI kama si KIJAMBAZI. Mwezi Februari mwaka huu niliingia mkataba wa sola ya watt 180 ambapo baada ya kulipa malipo ya awali ya shilingi laki mbili, niliendelea kulipa kila siku kidogokidogo na mpaka leo tarehe 24 nimeshalipa jumla ya shilingi 1,688,000 kati ya shilingi 2,700,000.

Kama mnavyofahamu,wiki iliyopita Raisi kazindua Gridi huku Kigoma nami ni mmoja kati ya wananchi tuliounganishwa na umeme wa TANESCO.

Jambo la kushangaza ni kwamba haya MAJAMBAZI YA KAMPUNI YA MYSOL bado yanataka eti niendelee kulipia sola yao wakati nimeshapata umeme wa TANESCO ambao kwangu ni rahisi na nafuu kuliko MISOLA YAO YA KIPUMBAVU. Tangu nimefunga hilo LISOLA lao limekuwa likinisumbua mara kwa mara na wao kuja kurekebisha ni mpaka wajisikie wao kuja. Nilishagombana nao sana lakini niliendelea kuvumilia.

Kwa kuwa tayari nina umeme wa TANESCO, Sola nimeitoa na kuiweka ndani. Nashangaa wanakuja na Polisi eti kuichukua kwa sababu siilipi tena, je pesa yangu shilingi 1,688,000 nitaipataje?wananijibu hiyo pesa HAIRUDISHWI. Kwa kweli nimewazuia hao maofisa wa hiyo kampuni pamoja na polisi wawili waliokuja nao.

Naomba kama kuna mwana JF aliyewahi kudili na haya MAJAMBAZI YA MYSOL anipe msaada wa jinsi ya kukabiliana nayo maana nasikia HARUFU YA KUMWAGA DAMU wakija tena kutaka kuchukua kwa nguvu maana wameahidi kuja kuchukua na bunduki. Na tupo wananchi 7 ambao haya MAJAMBAZI YA MYSOL yamekuja yanataka KUTUDHULUMU. Msaada tafadhali

Nawasilisha
 
Kwa nini watanzania tunakuwa wapumbavu hivi wa maswala ya kisheria? Mkataba ulikuwa hauna kipengele cha kujitoa? Kama kipo kinasemaje?

Usiingie mkataba bila kuuelewa na moja wapo ya kipengele muhimu ni kipengele cha kujitoa au kuvunja mkataba. Shubamiti.
 
Wana Jamii Forums nawasalimu nyote

Mimi ni mkazi wa wilaya ya Kibondo hapa mkoani Kigoma. Ninaomba msaada wa kisheria kutokana na ugomvi nilionao na kampuni ya KITAPELI ya sola inayoitwa MYSOL maana tunakoenda naweza kuja kukata kichwa cha mfanyakazi wao nikapata kesi ya mauaji.

Hii kampuni hukopesha mitambo ya sola ambapo mteja hutakiwa kulipa malipo ya awali kutegemea na ukubwa wa sola mfano Tsh.180,000 au 300,000,kisha malipo mengine hutakiwa kulipa kidogokidogo mpaka atakapomaliza mkataba wake.

Hii ni kampuni ya KITAPELI kama si KIJAMBAZI. Mwezi Februari mwaka huu niliingia mkataba wa sola ya watt 180 ambapo baada ya kulipa malipo ya awali ya shilingi laki mbili, niliendelea kulipa kila siku kidogokidogo na mpaka leo tarehe 24 nimeshalipa jumla ya shilingi 1,688,000 kati ya shilingi 2,700,000.

Kama mnavyofahamu,wiki iliyopita Raisi kazindua Gridi huku Kigoma nami ni mmoja kati ya wananchi tuliounganishwa na umeme wa TANESCO.

Jambo la kushangaza ni kwamba haya MAJAMBAZI YA KAMPUNI YA MYSOL bado yanataka eti niendelee kulipia sola yao wakati nimeshapata umeme wa TANESCO ambao kwangu ni rahisi na nafuu kuliko MISOLA YAO YA KIPUMBAVU. Tangu nimefunga hilo LISOLA lao limekuwa likinisumbua mara kwa mara na wao kuja kurekebisha ni mpaka wajisikie wao kuja. Nilishagombana nao sana lakini niliendelea kuvumilia.

Kwa kuwa tayari nina umeme wa TANESCO, Sola nimeitoa na kuiweka ndani. Nashangaa wanakuja na Polisi eti kuichukua kwa sababu siilipi tena, je pesa yangu shilingi 1,688,000 nitaipataje?wananijibu hiyo pesa HAIRUDISHWI. Kwa kweli nimewazuia hao maofisa wa hiyo kampuni pamoja na polisi wawili waliokuja nao.

Naomba kama kuna mwana JF aliyewahi kudili na haya MAJAMBAZI YA MYSOL anipe msaada wa jinsi ya kukabiliana nayo maana nasikia HARUFU YA KUMWAGA DAMU wakija tena kutaka kuchukua kwa nguvu maana wameahidi kuja kuchukua na bunduki. Na tupo wananchi 7 ambao haya MAJAMBAZI YA MYSOL yamekuja yanataka KUTUDHULUMU. Msaada tafadhali

Nawasilisha
Habari za grid ya Taifa wao inawahusu nini? Lipa deni lao kama umeshindwa basi waachie sola yao kwa maelezo yako unaonekana wewe ni msumbufu sana
 
usivunje mkataba ye mugabo! angalia mkataba wako unasemaje kama mlikubaliana ukiunganisha umeme wa tanesco utavunja mkataba basi hapo utakuwa umewamaliza ! lakini pia hiyo mitambo yao ungeiacha kwenye nyumba ulikuwa hunasababu ya kuitoa kwani wao ndio walioiweka kama ni mibovu na umewa notify hawaji basi ni juu yao. soma mkataba wao vizuri uuelewe utanishukru.
 
Makubaliano ni wao wakupe solar ww uwape pesa. Ungeweka na mkataba ungeelewwka zaidi ila kwa uwelewa wangu mdogo inapaswa kulipa kiasi chote kama mlivyokubakiana..
 
Makubaliano ambayo mlifanya wakati mnaandikishana ndiyo yataamua ubaki na Sola milele ama ulipe hela za watu, Binafsi naona hapo mleta mada ndiyo hajui kwamba hajui. Anakazania kusema kampuni linanyanyasa wanainchi.
 
Wana Jamii Forums nawasalimu nyote

Mimi ni mkazi wa wilaya ya Kibondo hapa mkoani Kigoma. Ninaomba msaada wa kisheria kutokana na ugomvi nilionao na kampuni ya KITAPELI ya sola inayoitwa MYSOL maana tunakoenda naweza kuja kukata kichwa cha mfanyakazi wao nikapata kesi ya mauaji.

Hii kampuni hukopesha mitambo ya sola ambapo mteja hutakiwa kulipa malipo ya awali kutegemea na ukubwa wa sola mfano Tsh.180,000 au 300,000,kisha malipo mengine hutakiwa kulipa kidogokidogo mpaka atakapomaliza mkataba wake.

Hii ni kampuni ya KITAPELI kama si KIJAMBAZI. Mwezi Februari mwaka huu niliingia mkataba wa sola ya watt 180 ambapo baada ya kulipa malipo ya awali ya shilingi laki mbili, niliendelea kulipa kila siku kidogokidogo na mpaka leo tarehe 24 nimeshalipa jumla ya shilingi 1,688,000 kati ya shilingi 2,700,000.

Kama mnavyofahamu,wiki iliyopita Raisi kazindua Gridi huku Kigoma nami ni mmoja kati ya wananchi tuliounganishwa na umeme wa TANESCO.

Jambo la kushangaza ni kwamba haya MAJAMBAZI YA KAMPUNI YA MYSOL bado yanataka eti niendelee kulipia sola yao wakati nimeshapata umeme wa TANESCO ambao kwangu ni rahisi na nafuu kuliko MISOLA YAO YA KIPUMBAVU. Tangu nimefunga hilo LISOLA lao limekuwa likinisumbua mara kwa mara na wao kuja kurekebisha ni mpaka wajisikie wao kuja. Nilishagombana nao sana lakini niliendelea kuvumilia.

Kwa kuwa tayari nina umeme wa TANESCO, Sola nimeitoa na kuiweka ndani. Nashangaa wanakuja na Polisi eti kuichukua kwa sababu siilipi tena, je pesa yangu shilingi 1,688,000 nitaipataje?wananijibu hiyo pesa HAIRUDISHWI. Kwa kweli nimewazuia hao maofisa wa hiyo kampuni pamoja na polisi wawili waliokuja nao.

Naomba kama kuna mwana JF aliyewahi kudili na haya MAJAMBAZI YA MYSOL anipe msaada wa jinsi ya kukabiliana nayo maana nasikia HARUFU YA KUMWAGA DAMU wakija tena kutaka kuchukua kwa nguvu maana wameahidi kuja kuchukua na bunduki. Na tupo wananchi 7 ambao haya MAJAMBAZI YA MYSOL yamekuja yanataka KUTUDHULUMU. Msaada tafadhali

Nawasilisha

Wewe ndiye unatakiwa uchumguzwe hautaki kulipa pesa ya watu,Dawa ya Deni ni kulipa,shame upon you!!
 
Back
Top Bottom