Serikali ichunguzeni kampuni ya Mysol, inatesa wananchi

Wewe ndio tatizo,

Labda nikuulize tu mfano umekopa Leo ukalipa kianzio Kisha after 2 months umeme wa Tanesco ukaja, ingekuaje hapo? Ungeng'ang'ania mtambo wa watu ukagoma kulipa kisha umepata wa Tanesco?

Jibu ni kua Umeme wako wa Tanesco hauhusiani na mkopo wako. Kama mmekubaliana miezi kadhaa uwe unalipa ina maana hiyo miezi ikiisha ndio bei ya hiyo Sola Kwa Ujumla.

Hapo una machaguzi matatu.
1) Tafuta mtu achukue yeye huo mtambo amalizie hilo salio,
2) Lipia wewe Jumla ya deni lote lililobaki msiendelee kusumbuana
3) Endelea kulipa kidogo kidogo mpaka deni liishe kama mlivyokubaliana awali kwenye mkataba

Lakini kugomea kumalizia miezi kisa sasa una Umeme mwengine wa Tanesco sio sawa kabisa. Na Kwa sheria ya "Hire purchase" mali itakua yako kamili pale utakapomaliza deni lote.
 
Wewe Wewe ndio mpuuzi tutolee upuuzi wako hapa ....unaelewa maana mkataba? Usituchoshe heshimu mkataba....Tanzania tunalipa mabilioni kuvunja mikataba huwa huoni au unajitoa fahamu....usituchoshe
 
Wewe
Wewe ndio mpuuzi tutolee upuuzi wako hapa ....unaelewa maana mkataba? Usituchoshe heshimu mkataba....Tanzania tunalipa mabilioni kuvunja mikataba huwa huoni au unajitoa fahamu....usituchoshe
Nadhani MPUUZI na MJINGA ni wewe uliye-comment leo Uzi wa mwaka 2022,hizo ni akili za MAKALIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…