Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Hawa watu walichelewa Sana kufunga mipaka , ngoja tu ianze kusambaa Ni harari kabisa , au Kama vp wasiojulikana wafanye yao kwa hao watatu
 
Wapo pia watalii wengi raia wa Italia wanaokwenda Zanzibar na Italia saa hizi ndio ya pili baada ya China kwa maambukizi. Intelligence hapa ifanye kazi ya ziada.
 
Hayo matani ya watoto imeonesha jinsi gani ulivyo kitoto.
Huo ni utahira na komwe lako, wapi kumeandikwa au kuwahi kusemwa jokes is just for kids?

Senga na Pembe wewe wale si baba zako kabisa kiumri wanachokifanya wanafanyia watoto?
Shubahamit
 
By Advocate John Kimbisa, Dar

Early today we learnt that a U.S citizen is among those confirmed with positive test for corona virus in Tanzania. This comes few days after his arrival from an unnamed destination.

It ought to be remembered that when the first case for COVID-19 was confirmed positive in Tanzania, the U.S Embassy in Dar es Salaam rushed to both English and Swahili language strategies to report on social media about the existence of the disease in Tanzania.

Reciprocally, I expected that the Embassy could used similar ways to report that U.S citizen is the second importer of the disease in Tanzania, after other two cases involving individuals who came back from abroad.

The Tanzanian woman who tested positive upon arrival from abroad, marking the first case in the country, regreted today and apologized to Tanzanians, but neither the U.S Ambassador to Tanzania nor any official has regretted or apologized for their citizen who imported the killer illness.

On a high level of hypocricy, the U.S Embassy once known for implementing the role of informing and alerting the world on security and public health issues, has all over a sudden gone silent.

The number of people affected by this U.S citizen is still unknown.

This comes amid concerns that the corona virus was made in US laboratories as a weapon for biological warfare. China has raised same concerns.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Maelezo hayajitoshelezi. Huyo wa DS ametokea wapi na nchini ameingia lini?

Hata mimi nashangaa, mbona hawasemi hao raia wa Amerika na Ujerumani walingia Nchini kwa kutumia usafiri upi, je, thermo scanner zilishindwa kubaini kwamba wana dalili za ugonjwa huo, hawaelezi walifikia hoteli zipi au wenyeji wao walikuwa ni akina nani?

Mbona mgonjwa wa huko Arusha wame eleza kila kitu, lakini linapo kuja suala la hawa wawili inaonekana wahusika hawataki kuweka mambo wazi, kwa nini?
 
Back
Top Bottom