wakuu.
naona Bi Ummy Mwalimu katuacha solemba. tunahitaji kuhabarishwa mara kwa mara juu ya kinachoendelea nchini kuhusu Janga la Corona.
wagonjwa 6 wanaendelea je na hali? wangapi wamepona, n.k.
vipi kuhusu vituo na upatikanaji wa vipimo, vipimo vinalipiww au ni bure?
tunataka regular updates kama nchi zingine wanavyofanya siyo kutuonesha katuni ya ubongokid kwenye tv.
kututukalia kimya ni kutuweka kwenye lockdown ya habari kitu ambacho ni hatari kuliko lockdown za mitaa zinazofanyika nchi zingine maana tunaweza kudhani mambo ni poa tukaweka misongamano kama ile ya mtaa wa kongo na uhuru kariakoo tukajikuta tunachota korona kizembe.
kama vipi tupeane updates wenyewe kuliko kuwasubiri wanasiasa.
inchaji.