Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Baadhi ya nchi sasa kuwafungia watu wao wabakie majumbani mwao wasitoke nje
 
Tunapoelkea amber rut na mwijaku watatangaza soon SANA corona
 
Donald Trump ameandaa mkutano wa kupitia Video Conference ya G7 kuzungumzia Covid 19
Nafikiri hii itakuwa mwanzo wa kufanya mikutano mikubwa kama hizi kwa masafa
 
Hawakujiandaa kama walivyojiandaa kupambana na flu, ndio sababu ya haya.

Kutojiandaa hakufanyi ugonjwa uwe hatari zaidi ya magonjwa mengine.
Ndo maana Tanzania pia tunatakiwa tuchukue measures sasa hivi. Italia au Ulaya kwa ujumla walichelewa. Walijua ni mafua tu ya kawaida. Kule Italia North viwanda vingi waliuziwa wachina enzi za yule waziri mkuu mmafia Berlusconi .China ugonjwa ulianza November/Desemba.

Wachina walikuwa wanakuja Italia na kurudi Wuhen kama wanavyopenda.Hivyo Italia virus kacirculate kirahisi na mapema kabisa. Wamekuja kuchukua measures watu washaanza kuugua na wameshaambukizana vya kutosha.
 
We are taking Korona for granted especially the young people are irresponsible and selfish because to them it'll not affect them because of their stable and strong body immune system but they will spread it to the elderly.

Lord help us
 
Kwan wenyewe c binadam kwamba hawawezi kupata , ivi wabongo tuna matatizo gani ? Kwan kuna watu amabo ni special amabao wanatakiwa kupata corona ? Na yule kocha Wa arsenal na mchezaji wa chelsea walivyopata ilikua ni kiki, tuache ujinga tusipokua makini tutapukutika Sana .
Chamsingi ni kuchukua tahadhari , ukiona mwezako ananyolewa we tia maji
Mungu tuepushe na janga hili
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana Tanzania pia tunatakiwa tuchukue measures sasa hivi. Italia au Ulaya kwa ujumla walichelewa. Walijua ni mafua tu ya kawaida. Kule Italia North viwanda vingi waliuziwa wachina enzi za yule waziri mkuu mmafia Beaulincon.China ugonjwa ulianza November/Desemba.

Wachina walikuwa wanakuja Italia na kurudi Wuhen kama wanavyopenda.Hivyo Italia virus kacirculate kirahisi na mapema kabisa. Wamekuja kuchukua measures watu washaanza kuugua na wameshaambukizana vya kutosha.
Umenipa elimu hapa.

KUUMBEEE maana yake. Sikujua.

Kila mara nilikuwa najiuliza itakuwaje mlipuko uwe mkubwa Italy kiasi kile? Hii 'connection' sikuwa nayo kabisa.

Watu waanze kujua maana ya miingiliano hii ya kimataifa inavyoweza kuwa hatari au neema kwa watu wake.
 
Kalamu1,
Ndo hivyo Berlusconi aliuza viwanda huko North Italy kwa wachina.Wachina wengi sana huko North Italy. Halafu ugonjwa ulivyoanza Berlusconi mwenyewe kakimbilia Ufaransa ukizingatia ana miaka 80+.Tatizo pia China mwanzoni walificha. Hivyo kama nilivyosema post iliyopita.
 
Kwelii kabsaa mkuu Ni ugonjwa hatari ila wameukuza sana. Sijui Nini Kiko nyuma ya pazia.

Ni kwa sababu ya usambaaji, yaani mtu mmoja akichemua ndani ya daladala ashaambukiza woote nao walio ambukizwa wakifika manyumbani wanasambaza...kama kinga yako si maradufu na hali ya vituo vyetu vya afya unaayajua....unaomba tu mwenyezi!!!
 
Apo serikali itoe tamko kwa tanesco makampuni ya simu kua huduma ni bure kwa kipindi hiki. #Covid19
 
Ni kwa sababu ya usambaaji, yaani mtu mmoja akichemua ndani ya daladala ashaambukiza woote nao walio ambukizwa wakifika manyumbani wanasambaza...kama kinga yako si maradufu na hali ya vituo vyetu vya afya unaayajua....unaomba tu mwenyezi!!!

Sisi hapa tunafanya mambo kimzaa mzaa, tunarudia makosa ya wenzetu huko Italy, Ujerumani na USA - jana kwa mfano nimesikia Serikali ya Trump ikisema kwamba mambo yanavyo onekana si ajabu Yaifa hilo tajiri Duniani likakumbwa na upungufu mkubwa wa ventillator machines ambazo zina umuhimu wa pekee katika kukabiriana na matatizo ya kupumua, si ajabu wakawaomba Wachina kuwapatia machine za kutosha!!!

Je, kwa nini Taifa letu alisitishi/piga marufuku ndege zote za kutoka/kwenda Bara la Ulaya, Merikani na Uchina, kwa nini abiria wanao toka Mataifa yaliyo athirika na ugonjwa huu hawawekwi kwenye karantini ya mwezi walao mmoja bila ya kujali kama wameambukizwa au la, tungekuwa makini na wakali tangu mwanzo Taifa letu lisingekumbwa na imported cases, kwa maneno mengine tunge baki salama - tubadirishe mbinu za kukabiliana na ugonjwa huu hasa hasa tupige marufuku ndege zote zinazo toka kwenye Mataifa yenye tatizo la Corona.
 
Back
Top Bottom