Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana Tanzania pia tunatakiwa tuchukue measures sasa hivi. Italia au Ulaya kwa ujumla walichelewa. Walijua ni mafua tu ya kawaida. Kule Italia North viwanda vingi waliuziwa wachina enzi za yule waziri mkuu mmafia Berlusconi .China ugonjwa ulianza November/Desemba.Hawakujiandaa kama walivyojiandaa kupambana na flu, ndio sababu ya haya.
Kutojiandaa hakufanyi ugonjwa uwe hatari zaidi ya magonjwa mengine.
Kwahiyo unachekelea au unachekelewa?Inaanzaga hivi hivi mwisho inafikia elfu 10.
Waweke measures kali sasa hivi. Waemphasaize social distance. Wafunge mipaka. Tusiseme ni mafua tu na tukaja geuka kama Italia ilivyo sasa.Kwahiyo unachekelea au unachekelewa?
Nani anayeweza kufanya hivyo? Si ulisikia lile swali la mtu makini zaidi?Waweke measures kali sasa hivi. Waemphasaize social distance. Wafunge mipaka. Tusiseme ni mafua tu na tukaja geuka kama Italia ilivyo sasa.
Umenipa elimu hapa.Ndo maana Tanzania pia tunatakiwa tuchukue measures sasa hivi. Italia au Ulaya kwa ujumla walichelewa. Walijua ni mafua tu ya kawaida. Kule Italia North viwanda vingi waliuziwa wachina enzi za yule waziri mkuu mmafia Beaulincon.China ugonjwa ulianza November/Desemba.
Wachina walikuwa wanakuja Italia na kurudi Wuhen kama wanavyopenda.Hivyo Italia virus kacirculate kirahisi na mapema kabisa. Wamekuja kuchukua measures watu washaanza kuugua na wameshaambukizana vya kutosha.
Lipi hilo ?Nani anayeweza kufanya hivyo? Si ulisikia lile swali la mtu makini zaidi?
Kwelii kabsaa mkuu Ni ugonjwa hatari ila wameukuza sana. Sijui Nini Kiko nyuma ya pazia.
Ni kwa sababu ya usambaaji, yaani mtu mmoja akichemua ndani ya daladala ashaambukiza woote nao walio ambukizwa wakifika manyumbani wanasambaza...kama kinga yako si maradufu na hali ya vituo vyetu vya afya unaayajua....unaomba tu mwenyezi!!!