nashauri pia shughuli zote za kiserikali zinazo tolewa kwa jamii kama vile mahakama n.k nazo zinge sitishwa kwani zina chochea mwingiliano na msongamano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikifika 52,000,000 nani atatuandikia kua idadi imefika mwisho 🤣Then inafika 7854677 mwishowe 52,000,000
Kitu gani sisi tunategemea nje? Si kila siku humu tunaambiwa Magufuli amewakazia wamarekani maana walikuwa wanatutegemea kiuchumi?Unaweza kufunga milango ya nyumba usichangamane na wengine ukiwa kila kitu unategemea nje?
Unamaanisha huyu paskali anakutamanisha Kama mke wako?Mkuu pascal mayalla nakusalimia kama hutajali naomba hii duh...uiache kuitumia ni mara nyingi una comment hivo, sababu yakukuambia hivo mke wangu huwa anapenda sana kuitumia nashtuka sana pindi ninapokutana na hayo maneno nasisimuka sana na tupo mbali mbali
Kitu gani sisi tunategemea nje? Si kila siku humu tunaambiwa Magufuli amewakazia wamarekani maana walikuwa wanatutegemea kiuchumi? Akili ya upambe ni mzigo mkubwa kichwani. Sasa kuagiza nje sio dependence. Ili uagize nje lazima uwe na uwezo wa kuagiza (fedha). Lakini ukiagiza lazima vitu viingie ndani mwako. Mfano ukiwa na pesa nyumbani mwako si lazima ufungua milango ili uagize mahitaji yako na mahitaji hayo yaingie ndani?
Tanzania hauna:
Then ufunge mipaka? Utakufa kabla ya corona utakapoambiwa kg moja ya sukari ni 100,000 kwa sababu mafuta yamepanda.
- Mafuta,
- dawa
- gesi, n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kisichokuwa na upeo ni mzigo.Kitu gani sisi tunategemea nje? Si kila siku humu tunaambiwa Magufuli amewakazia wamarekani maana walikuwa wanatutegemea kiuchumi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hili hapa
Ningekuwa mkuu wa mkoa wa DsM ningeamuru Dar watu waje kwa passports na Visa maarum toka vijijini kwao ili kupunguza muingiliano,km hauna sababu ya msingi usije Dar.
Eti ohoo naenda kwa shemeji,sijuhi kuna kitchen party baki huko huko Nangurukuru mpaka tuakikishe tatzo limekwisha. 😎 😎 😎 😎
Saba BuzaUkisikia "UPEPO WA KISULISULI" ndio hii Corona sasa, dah. Huyo wa Dar ikisemekana alipanda kwa kugombania "MWENDO KASI", itakua kasheshe.
Kesho utasikia wamepatikana wagonjwa 5 wa kisulisuli, wawili Tandale, mmoja Mbagala, na wawili Manzese.
Umetukuzwa kuliko ufisadi wa maccmHuu ugonjwa umetukuzwa mno.
Sio kutukuzwa ni haki yake huyo Corona Virus kutukuzwa. Waulize Italy wakwambie waliopuuzia tangu mwanzo unaambiwa watu kibao wanaumwa watu hawaendi kazini, shule zilishafungwa Mgeni huyu ni balaa.Huu ugonjwa umetukuzwa mno.
Unaambiwa corona-virus ipo nchini kwa muda mrefu sasa...!Kwa matukio haya, basi kuna wengi wameambukizwa Ila bado wapo kwenye window period (incubation period).
Baada ya siku kumi kuanzia Leo tutakua na wagonjwa si Chini ya 300 na kadhaa.
Nishauri tu kua usipo ziba Ufa utajenga ukuta.
Serikali fungeni mipaka ili tupambane na hawa predicted 300+. Ambao naamini 7 to 10 days to come kuanzia sasa watakua obvious.
Italy waliona kama masiara ukapukutisha kweli kweli.Sio kutukuzwa ni haki yake huyo Corona Virus kutukuzwa. Waulize Italy wakwambie waliopuuzia tangu mwanzo unaambiwa watu kibao wanaumwa watu hawaendi kazini, shule zilishafungwa Mgeni huyu ni balaa.