Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

nashauri pia shughuli zote za kiserikali zinazo tolewa kwa jamii kama vile mahakama n.k nazo zinge sitishwa kwani zina chochea mwingiliano na msongamano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isabela
Dereva wa tax aliyopanda Isabela
Mmarekani wa Dsm
Mjerumani wa Z’bar
Halafu mnasema watatu(3) Please come back to your senses
 
Mkuu pascal mayalla nakusalimia kama hutajali naomba hii duh...uiache kuitumia ni mara nyingi una comment hivo, sababu yakukuambia hivo mke wangu huwa anapenda sana kuitumia nashtuka sana pindi ninapokutana na hayo maneno nasisimuka sana na tupo mbali mbali
Unamaanisha huyu paskali anakutamanisha Kama mke wako?
Nashauri Mtumie nauli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ya Chad, ambayo bado haijapata mgonjwa au mshukiwa wa virusi vya Corona, imefunga mipaka yake yote na viwanja vya ndege ikiwa ni sehemu ya juhudi kuhakikisha virusi hivyo vinadhibitiwa.
NB:Idriss Deby ni raisi diktekta wa kweli sio wale uchwara..maana alipindua Chad toka 1990 mpaka leo raisi ...lakini anafunga mipaka ya nchi yake ili watu anaowaongoza wasife...Hapa kwetu viongozi hawana huruma na watu wanaowaongoza ...
 
Kitu gani sisi tunategemea nje? Si kila siku humu tunaambiwa Magufuli amewakazia wamarekani maana walikuwa wanatutegemea kiuchumi? Akili ya upambe ni mzigo mkubwa kichwani. Sasa kuagiza nje sio dependence. Ili uagize nje lazima uwe na uwezo wa kuagiza (fedha). Lakini ukiagiza lazima vitu viingie ndani mwako. Mfano ukiwa na pesa nyumbani mwako si lazima ufungua milango ili uagize mahitaji yako na mahitaji hayo yaingie ndani?

Tanzania hauna:
  • Mafuta,
  • dawa
  • gesi, n.k
Then ufunge mipaka? Utakufa kabla ya corona utakapoambiwa kg moja ya sukari ni 100,000 kwa sababu mafuta yamepanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili gonjwa mwisho , hakuna cha vigogo wala mbilimbi wote tunatibiwa hapahapa,
Hakuna cha India wala South Afrika ,
 
Hawa si wagonjwa wetu, ni wagonjwa wa Wizara ya utalii iliyowaruhusu jamaa kuingia nchini bila kujua wana Virus ama hawana!!

Kupenda pesa zaidi kuliko afya za wenzako - haya sasa mziki huo!! na bado airport zetu zipo free watu wanaingia tu na mikorona yao puani.
 
Ningekuwa mkuu wa mkoa wa DsM ningeamuru Dar watu waje kwa passports na Visa maarum toka vijijini kwao ili kupunguza muingiliano,km hauna sababu ya msingi usije Dar.

Eti ohoo naenda kwa shemeji,sijuhi kuna kitchen party baki huko huko Nangurukuru mpaka tuakikishe tatzo limekwisha. 😎 😎 😎 😎

Wanaoingia dar kwa siku ni wachache sana ukilinganisha na wanaotoka dar kwenda mikoani

Mabsai yanayotoka ubungo kwa siku peke ake ni zaidi ya mabasi 300

Anzeni kwanza kuyazuia mabasi yanayokuja mkoani
 
Kwa matukio haya, basi kuna wengi wameambukizwa Ila bado wapo kwenye window period (incubation period).
Baada ya siku kumi kuanzia Leo tutakua na wagonjwa si Chini ya 300 na kadhaa.
Nishauri tu kua usipo ziba Ufa utajenga ukuta.
Serikali fungeni mipaka ili tupambane na hawa predicted 300+. Ambao naamini 7 to 10 days to come kuanzia sasa watakua obvious.
 
Huu ugonjwa umetukuzwa mno.
Sio kutukuzwa ni haki yake huyo Corona Virus kutukuzwa. Waulize Italy wakwambie waliopuuzia tangu mwanzo unaambiwa watu kibao wanaumwa watu hawaendi kazini, shule zilishafungwa Mgeni huyu ni balaa.
 
Kwa matukio haya, basi kuna wengi wameambukizwa Ila bado wapo kwenye window period (incubation period).
Baada ya siku kumi kuanzia Leo tutakua na wagonjwa si Chini ya 300 na kadhaa.
Nishauri tu kua usipo ziba Ufa utajenga ukuta.
Serikali fungeni mipaka ili tupambane na hawa predicted 300+. Ambao naamini 7 to 10 days to come kuanzia sasa watakua obvious.
Unaambiwa corona-virus ipo nchini kwa muda mrefu sasa...!
Serikali ilijaribu sana kuficha hizo taarifa
Lakini sasa utashangaa idadi ya cases zikianza kuwekwa wazi kila dakika/saa/siku
Serikali ni ya kulaumiwa katika hili...!!
Mipango yao ni zero...!! Kuanzia tahadhari, utambuzi, upimaji kwenye matitabu ndo yatakuwa majanga zaidi...!!
Unaambiwa sampuli ni lazima zipelekwe Dar kwanza.... Sasa sijuhi zitapelekwa ngapi?? Na huko Dar wanauwezo gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom