Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Sisi mbona tuliwaacha wetu lakini umetufikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonjwa ulikuwepo tu na bado mtasikia mengi, ila ninacho amini madhara yake kwa mgonjwa hayawezi kuwa makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaanzaga hivi hivi mwisho inafikia elfu 10.
Chanjo mpaka baada ya mwezi 18,tutarajie wagonjwa kufika 2M DsM itaongoza kwa idadi ya wagonjwa,mambo yanavyoendelea watu wataanza kutumbuliwa maana kuna viongozi bado somo halijawaingia.
 
Mbona nikama waafrika hawaathiriki sana na hii Toyota corona, mwambieni Kabudi afanye negoshiesheni tubadilishane nchi sisi tuhamie China wao waje huku wale ni ndugu zetu ati
 
Maana yake ikitokea member wa hapa kiimya kimetawala, mjue Corona ashafanya yake, mi simo
 
Idadi ya vifo ni vidogo kulinganisha na maambukiz
Ishu sio idadi ya vifo ,wagonjwa wanavyokuwa wengi inaathiri uchumi wa familia na nchi,mfn baba au mama ndio anaumwa si balaah.Kama umewahi kuugua dengeu mwaka wa Jana mwezi km huu hauwezi beza Corona kwa kuvaa sidiria puani badala ya mask.
 
Ngugu yangu hakimu Mbuya, sasa kikao chetu kwanini mmekataa tusifunge mahakama kwa miezi miwili kupisha Corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…