Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Mwanza tunasikilizia. Lakini taarifa za awali, 3 wanachunguzwa. Mfilipino 1 na Wachina 2. Nadhani tutapewa taarifa rasmi na Serikali.
 
Ulimsikia Gwajima lakini? Alisema ugonjwa wa Corona haupo Tanzania na hajakamatwa kwa uchochezi mpaka sasa.

Nenda wewe utangaze uone shughuli yake. Hii nchi inawaogopa sana watu maarufu.
Gwajima anaweza kuwa SAHIHI

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Baada ya leo mtaendelea kumuona Mh. Waziri mkuu mara kwa mara akijitokeza kutangaza kuongezeka kwa wagonjwa wa korona.Endeleeni kujiamini eti mna ngozi ngumu,mtakunywa maji ya moto. Chukueni tahadhari
Watakua wengi itafikia kpindi nayeye ataona haina maana kutangaza atamrudishia kijiti Ummie nayeye atapasisha kijiti kwa msemaji au hospitali ya vipimo kutangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya leo mtaendelea kumuona Mh. Waziri mkuu mara kwa mara akijitokeza kutangaza kuongezeka kwa wagonjwa wa korona.Endeleeni kujiamini eti mna ngozi ngumu,mtakunywa maji ya moto. Chukueni tahadhari
Lakini mkuu maji wa moto yanatibu usiwape watu stress hata huko china wanakunywa maji ya moto hiyo ni huduma ya kwanza kabisa kwasababu kirusi anasababisha inflammation kwenye mfumo wa upumuaji na kumfanya ashindwe kupumua vizuri.

ukinywa maji ya moto mfumo wa upumiaji unapanuka mgonjwa lazima ajisikie nafu, tatizo huwa hasomi sayansi pia na kufanya mazoezi ni dawa.
 
Waziri Mkuu aliwasiliana na waziri kiongozi wa Zanzibar kabla ya kutoa taarifa? Kwenye hili swala tuiache nchi ya Zanzibar ijitangazie mambo yake yenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu pakaywatek nadhani katika mambo serious kama hili janga la CORONA tuache mzaha kabisa. Je Zanzibar ina waziri Kiongozi? Je Mh. Kassim Majaliwa si ni Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania (Including Zanzibar) ?. Mkuu tuache mzaha.

Ahsante
 
Inaanzaga hivi hivi mwisho inafikia elfu 10.

Ningeishauri serikali waanze kufikiria mapema jinsi watakavyowalinda wafungwa walio magerezani na mlipuko huu wa covid-19; ama sivyo wakizembea ugonjwa ukaingia huko, the government will be overwhelmed!!!! Ngoma itakuwa nzito.
 
Ni kweli wapinzani ni wanafiki mno.
Wewe acha kuleta upumbavu kwenye uhai kila kitu kwao ni siasa mada inahusiana na siasa hii uko mirembe wodi namba ngapi shwaini zako
 
D
Screenshot_20200318-120208.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningeishauri seikali waanze kufikiria mapema jinsi watakavyowalinda wafungwa walio magerezani na mlipuko huu wa covid-19; ama sivyo wakizembea ugonjwa ukaingia huko ,the government will be overwhelmed!!!! Ngoma itakuwa nzito.

Mkuu Bulesi nadhani kwa kuanzia mahakama zote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zingesimamisha shughuli zake kwa muda au kesi ziendeshwe kwa kutumia Video (IT isaidie) ili kupunguza wafungwa kukutana na watu ambao sio wafungwa.

Pia serikali isitishe kwa muda wafungwa kutembelewa na jamaa zao au iruhusu wafungwa wawasiliane na jamaa zao kwa kutumia video (IT isaidie hilo).

Ahsante
 
Pale town mtaa wa nkurumah kuna hotel flani imejaa wachina inaitwa Esiya kama wiki mbili tatu ivi zilizopita niliona wanaingia . Naomba wakachunguzwe
 
Lakini mkuu maji wa moto yanatibu usiwape watu stress hata huko china wanakunywa maji ya moto hiyo ni huduma ya kwanza kabisa kwasababu kirusi anasababisha inflammation kwenye mfumo wa upumuaji na kumfanya ashindwe kupumua vizuri. ukinywa maji ya moto mfumo wa upumiaji unapanuka mgonjwa lazima ajisikie nafu, tatizo huwa hasomi sayansi pia na kufanya mazoezi ni dawa.
Hii ni sayansi ya wapi? Acheni hizi fake stories.
Hakuna uhusiano wowote kati ya maji ya moto na matibabu ya Corona. Kumbuka virus vinakuwa kwenye damu na vinashambulia respiratory system, sasa unavifikiaje kwa maji ya moto.
 
Katu usipokee masks yeyeto ya kupewa hovyo na MTU usiyemjua kama usamaria wema chance ya kuwwekewa poda ni kubwa ukasinzia ukaibiwa
 
BREAKING NEWS: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa idadi ya wagonjwa wa Virusi vya Corona nchini imeongezeka na kufikia watatu, ambapo mmoja amepatikana Zanzibar ambaye ni raia wa Ujerumani na mwingine Jijini Dar es Salaam ambaye ni raia wa Marekani.
Zanzibar ni nchi au siyo nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom