Anataka mkuu wa kaya aumbuke na kauli zake za HII NCHI INAJITOSHELEZA KWA KILA KITUKati ya kitu serikali hawataki kusikia ni huu ushauri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka mkuu wa kaya aumbuke na kauli zake za HII NCHI INAJITOSHELEZA KWA KILA KITUKati ya kitu serikali hawataki kusikia ni huu ushauri!
Ni kweli wapinzani ni wanafiki mno.M
Mnafiki
Gwajima anaweza kuwa SAHIHIUlimsikia Gwajima lakini? Alisema ugonjwa wa Corona haupo Tanzania na hajakamatwa kwa uchochezi mpaka sasa.
Nenda wewe utangaze uone shughuli yake. Hii nchi inawaogopa sana watu maarufu.
Watakua wengi itafikia kpindi nayeye ataona haina maana kutangaza atamrudishia kijiti Ummie nayeye atapasisha kijiti kwa msemaji au hospitali ya vipimo kutangazaBaada ya leo mtaendelea kumuona Mh. Waziri mkuu mara kwa mara akijitokeza kutangaza kuongezeka kwa wagonjwa wa korona.Endeleeni kujiamini eti mna ngozi ngumu,mtakunywa maji ya moto. Chukueni tahadhari
Lakini mkuu maji wa moto yanatibu usiwape watu stress hata huko china wanakunywa maji ya moto hiyo ni huduma ya kwanza kabisa kwasababu kirusi anasababisha inflammation kwenye mfumo wa upumuaji na kumfanya ashindwe kupumua vizuri.Baada ya leo mtaendelea kumuona Mh. Waziri mkuu mara kwa mara akijitokeza kutangaza kuongezeka kwa wagonjwa wa korona.Endeleeni kujiamini eti mna ngozi ngumu,mtakunywa maji ya moto. Chukueni tahadhari
Waziri Mkuu aliwasiliana na waziri kiongozi wa Zanzibar kabla ya kutoa taarifa? Kwenye hili swala tuiache nchi ya Zanzibar ijitangazie mambo yake yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaanzaga hivi hivi mwisho inafikia elfu 10.
Yaani watu bhana,sasa barua ni ya tarehe 17 leo tarehe 18.
Kama umetukuzwa mno angalia kinachoendelea Italy na Iran. Ukifanya hivyo huenda akili yako itaelewa vizuri.Huu ugonjwa umetukuzwa mno.
Wewe acha kuleta upumbavu kwenye uhai kila kitu kwao ni siasa mada inahusiana na siasa hii uko mirembe wodi namba ngapi shwaini zakoNi kweli wapinzani ni wanafiki mno.
Ningeishauri seikali waanze kufikiria mapema jinsi watakavyowalinda wafungwa walio magerezani na mlipuko huu wa covid-19; ama sivyo wakizembea ugonjwa ukaingia huko ,the government will be overwhelmed!!!! Ngoma itakuwa nzito.
Wewe endelea kumfuatisha KigogoIla inasemekana hapo Rejensi na muhitatu wapo wakutosha tuu ila inafanywa sirii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni sayansi ya wapi? Acheni hizi fake stories.Lakini mkuu maji wa moto yanatibu usiwape watu stress hata huko china wanakunywa maji ya moto hiyo ni huduma ya kwanza kabisa kwasababu kirusi anasababisha inflammation kwenye mfumo wa upumuaji na kumfanya ashindwe kupumua vizuri. ukinywa maji ya moto mfumo wa upumiaji unapanuka mgonjwa lazima ajisikie nafu, tatizo huwa hasomi sayansi pia na kufanya mazoezi ni dawa.
Nyuma ya pazia ni kuwa mzungu anaogopa kufa!Kwelii kabsaa mkuu Ni ugonjwa hatari ila wameukuza sana. Sijui Nini Kiko nyuma ya pazia.
Zanzibar ni nchi au siyo nchi?BREAKING NEWS: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa idadi ya wagonjwa wa Virusi vya Corona nchini imeongezeka na kufikia watatu, ambapo mmoja amepatikana Zanzibar ambaye ni raia wa Ujerumani na mwingine Jijini Dar es Salaam ambaye ni raia wa Marekani.