Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa taarifa inayojitosheleza bwashee...... Hizi siyo habari za kuleta nusu nusu!
#CORONAVIRUS: WAGONJWA TANZANIA WAFIKIA 6Toa taarifa inayojitosheleza bwashee...... Hizi siyo habari za kuleta nusu nusu!
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wenye virusi vya Corona hapa nchini sasa imefika sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasemea wapi? Na wagonjwa wamepatikana wapi?!
Mambo yameharibika.Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wenye virusi vya Corona hapa nchini sasa imefika sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yameharibika.
Ngoja nitukane kidogo! Manina zao, hivi si wafunge mipaka, hovyooooooooooo#CORONAVIRUS: WAGONJWA TANZANIA WAFIKIA 6
- Wagonjwa wawili wametangazwa leo na wote wamepatikana Jijini Dar
- Mmoja Mwanaume (40), Mtanzania, aliyesafiri katika Uswizi, Denmark na Ufaransa
- Mwingine Mwanaume (40), Mtanzania, aliyesafiri katika nchi ya Afrika Kusini
Sent using Jamii Forums mobile app
alafu hili jambo upande wa tahadhari limebaki kufanyiwa kazi kwa level ya kitaifa tu, siwaoni wakuu wa mikoa na wa wilaya wakifanya jitihata za kutoa tahadhari kwenye mikoa na wilaya zao.
Mkuu, wewe ni mtanzania mwenzetu kweli?#CORONAVIRUS: WAGONJWA TANZANIA WAFIKIA 6
- Wagonjwa wawili wametangazwa leo na wote wamepatikana Jijini Dar
- Mmoja Mwanaume (40), Mtanzania, aliyesafiri katika Uswizi, Denmark na Ufaransa
- Mwingine Mwanaume (40), Mtanzania, aliyesafiri katika nchi ya Afrika Kusini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya wa Corona, leo mkigundua 1, kesho 10, keshokutwa 439, mtondogoo 3290, mtondo 8439.
Unforgetable