Imefika mahali tunaleta utan na siasa za porojo kwenye masuala yanayohusu maisha ya watu,Kama tumeshindwa kuzuia wageni au wenyeji ambao walisafir nje ya nchi basi tuhakikishe tunawadhibiti kwenye viwanja vya ndege au mipakani,ametushinda hata mzee Mseven siku 14 wanawekwa kwenye uangalizi.Sisi ni maneno ya kisiasa tu,tuko sereous kuvunja mikono ya wafuasi wa CHADEMA.
Wenzetu toka mwanzo wanahangaika namna kuzuia ugonjwa sis tunahangaika namna ya kuwafunga viongoz waupinzani ili tulale usingizi wa pono. Gari zinatoka arusha zinatoka arusha zinaenda mikoani bila tahadhari yoyote,tumeshindwa hata kusubsidize vifaa,wauzaji wamepandisha viongozi tupo busy kutaja idadi ya wagonjwa,jamani inaumiza sana Mungu ndo tegemeo letu hakuna cha jiwe wala kokoto ni porojo tu.