Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Imefika mahali tunaleta utan na siasa za porojo kwenye masuala yanayohusu maisha ya watu,Kama tumeshindwa kuzuia wageni au wenyeji ambao walisafir nje ya nchi basi tuhakikishe tunawadhibiti kwenye viwanja vya ndege au mipakani,ametushinda hata mzee Mseven siku 14 wanawekwa kwenye uangalizi.Sisi ni maneno ya kisiasa tu,tuko sereous kuvunja mikono ya wafuasi wa CHADEMA.

Wenzetu toka mwanzo wanahangaika namna kuzuia ugonjwa sis tunahangaika namna ya kuwafunga viongoz waupinzani ili tulale usingizi wa pono. Gari zinatoka arusha zinatoka arusha zinaenda mikoani bila tahadhari yoyote,tumeshindwa hata kusubsidize vifaa,wauzaji wamepandisha viongozi tupo busy kutaja idadi ya wagonjwa,jamani inaumiza sana Mungu ndo tegemeo letu hakuna cha jiwe wala kokoto ni porojo tu.
 
Wiki iliyopita Majaliwa alituhakikishia kuwa serikali imesambaza wataalamu wetu nchi nzima kwenye mipaka kuidhibiti Corona, baada ya siku tatu tukaanza kutangaziwa ugonjwa umeingia nchini!
 
Safari za mikoani nazo zisitishwe, changamoto ni kujua nani mwenye ulazima wa kusafiri
 
Bukyanagandi,
Nadhani kwasababu wenzetu wana sheria kali za data protection . Kuna taarifa binafsi za wananchi wao huwezi kuziweka wazi bila idhini ya muhusika na unaweza kushitakiwa kwa kufanya hivyo.
 
Tumeshaizungumzia sana issue ya wasafiri (wageni na watanzania) wanaotoka nchi zilizoathirika zaidi.

Anyways, safari za ndege ziendelea kama kawaida na mipaka iendelee kuwa wazi. Hatuwezi kuzuia watu kutoka nchi marafiki kuingia na hatutawaweka quarantine ya siku 14, ni marafiki zetu hao.
Halafu kuna suala la utalii.

Mdogo mdogo, cases zitaendelea kuongezeka exponentially kama Iran.
 
Back
Top Bottom