Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

Serikali: Idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Tanzania imeongezeka na kufikia Sita(6)

tumuamini nani sasa?, waliokuwa wanajulikana kiserikali adi jana walikuwa 3, leo wameongezeka2, huyo wa6 sijui ni yupi tena, ebu ummy tuambie ukweli isije ikawa wapo lundo kweli kweli….
 
Ni wazi kuna mambo yanafichwa!!
Serikali call off all flights coming to Tanzania. China walifanikiwa kwa kufanya hivyo waziri kuendelea kutupa moyo kuhusu wagonjwa that is bygones anatakiwa afanye jitihadi za kuzuia mazalia. Mazalia yanayotegemewa kuanzia wiki ijayo tutapoteana haki ya nani.

Serikali should calloff all flights fungeni airports zote kila mtanzania abaki ndani ya nchi. Rwanda wametoa tangazo kwamba mwisho wa ndege kutoka anga lake ni leo.

Kuanzia saa sita usiku hakuna ndege itaruka kutoka au kuingia.Kuna mfanyakazi mwenzetu tumefanikiwa kupata ndege asubuhi hii.so anaondoka.FUNGENI KUPAA KWA NDEGE
 
G4rpolitics,
Nyie endeleeni kucheza na hili gonjwa mtaona matokeo yake.Mbali na kutoa taarifa hii yenye kuibua utata kuhusu idadi ya wagonjwa,mlipaswa kuzuia wageni kuingia nchini kwani ni wazi tumeshindwa kudhibiti wagonjwa kuingia humju nchini na ndio maana kila siku sasa wagonjwa wanaongezeka.

Nyie huwa wabishi mpaka mambo yaharibike.
 
ukiwaambia wanashupaza shingo. wangelifunga viwanja vya ndege hawa wasingeliingia na tungelikuwa salama. Sidhani kama watapata faida kwenye hili shirika la ndege kwa mgongo wa corona.
 
Wagonjwa wa Corona wafika 3 sasa Tanzania baada ya wawili zaidi kupatikana leo na mmoja kutoka Zanzibar.

Waziri mkuu Majaliwa athibitisha kwa kusema “Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao wamethibitika kuwa na Corona Tanzania, mmoja kutoka Zanzibar yeye ni Mjerumani ana miaka 24 na tayari yupo kwenye uangalizi, na hapa DSM tuna Mmarekani mwenye miaka 61 amebainika kuwa na Corona pia”

Pia soma> Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza

=====

Watu 2 kutoka Zanzibar na Dar wenye asili ya Kijerumani, Kimarekani wagundulika na virusi vya Corona Dar na Zanzibar, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza asubuhi hii. Asema shughuli za usafiri, maduka ziendelee ila elimu izidi kutolewa

" Dar es salaam kapatikana mmarekani mmoja wa miaka 61 na zanzibar kapatikana mjerumani mmoja"

=========


UPDATES : 19 MARCH 2020

#CORONAVIRUS: WAGONJWA TANZANIA WAFIKIA 6

Wagonjwa wawili wametangazwa leo na wote wamepatikana Jijini Dar

Mmoja Mwanaume (40), Mtanzania, aliyesafiri katika Uswizi, Denmark na Ufaransa

Mwingine Mwanaume (40), Mtanzania, aliyesafiri katika nchi ya Afrika Kusini


Mkuu Hakimu Mfawidhi tunashukuru kwa update unazotupatia. Kwa taarifa tulizokuwa nazo hadi jana, Tanzania ilikuwa na wagonjwa 3 wa Corona ambao walishathibitishwa ambapo baada ya leo kuongezeka wagonjwa 2 nilitarajia Idadai iwe wagonjwa 5 na sio 6. Mkuu Hakimu Mfawidhi unaweza kutoa maelezo kidogo kuhusu huyu mgonjwa mmoja ambaye taarifa zake hatukupewa?


Ahsante
 
Serikali call off all flights coming to Tanzania. China walifanikiwa kwa kufanya hivyo waziri kuendelea kutupa moyo kuhusu wagonjwa that is bygones anatakiwa afanye jitihadi za kuzuia mazalia. Mazalia yanayotegemewa kuanzia wiki ijayo tutapoteana haki ya nani.Serikali should calloff all flights fungeni airports zote kila mtanzania abaki ndani ya nchi. Rwanda wametoa tangazo kwamba mwisho wa ndege kutoka anga lake ni leo.Kuanzia saa sita usiku hakuna ndege itaruka kutoka au kuingia.Kuna mfanyakazi mwenzetu tumefanikiwa kupata ndege asubuhi hii.so anaondoka.FUNGENI KUPAA KWA NDEGE
Nadhani ifike mahali wananchi tuchukue hatua wenyewe kujiokoa na hili janga.

Sasa tutafute namna ya kujiorganise tufunge mipaka wenyewe maana serikali sikivu ya CCM Sasa hivi inasikiliza nyimbo za diamond sio sauti zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiwaambia wanashupaza shingo. wangelifunga viwanja vya ndege hawa wasingeliingia na tungelikuwa salama. Sidhani kama watapata faida kwenye hili shirika la ndege kwa mgongo wa corona.
Hata siku TU tuliyomgundua Isabella ilitosha kuwapa alert kufunga mipaka Hawa watano leo tusingekuwa nao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawaoni haja ya kufunga mipaka? Safar za nje? Hao raia wa kigeni wakiambukiza raia wa ndani ndio basii tena
 
Na bado unaendelea kupukutisha, tarehe 18 pekee walipukutika watu 475 ..yani ndani ya siku moja..
Halafu wanasema ugonjwa unatukuzwa..haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo watu hawafuatilii habari, wanapenda sana umbea.
Huko Italy na Iran ni majanga hasa. Yaani kwa ukubwa wa makaburi yaliyochimbwa na serikali ya Iran kuzika waliofariki na ugonjwa huo yanaonekana mpaka kwenye picha za satellite.
 
Back
Top Bottom