Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wazi kuna mambo yanafichwa!!
Serikali call off all flights coming to Tanzania. China walifanikiwa kwa kufanya hivyo waziri kuendelea kutupa moyo kuhusu wagonjwa that is bygones anatakiwa afanye jitihadi za kuzuia mazalia. Mazalia yanayotegemewa kuanzia wiki ijayo tutapoteana haki ya nani.Ni wazi kuna mambo yanafichwa!!
Umemsahau mwakinywa na meneja wake..Na hapo bado hajarudi diamond na wanenguaji wake, na Haji manara, mwaka huu mbona mnalo
Maelezo hayajitoshelezi. Huyo wa DS ametokea wapi na nchini ameingia lini?
Arusha 21 Arusha+1Dar es Salaam+1 Zanzibar+2 Dar es Salaam=5, Hii idadi ya 6 inakujaje?
Ubaya wa Corona, leo mkigundua 1, kesho 10, keshokutwa 439, mtondogoo 3290, mtondo 8439.
Unforgetable
Wagonjwa wa Corona wafika 3 sasa Tanzania baada ya wawili zaidi kupatikana leo na mmoja kutoka Zanzibar.
Waziri mkuu Majaliwa athibitisha kwa kusema “Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao wamethibitika kuwa na Corona Tanzania, mmoja kutoka Zanzibar yeye ni Mjerumani ana miaka 24 na tayari yupo kwenye uangalizi, na hapa DSM tuna Mmarekani mwenye miaka 61 amebainika kuwa na Corona pia”
Pia soma> Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza
=====
Watu 2 kutoka Zanzibar na Dar wenye asili ya Kijerumani, Kimarekani wagundulika na virusi vya Corona Dar na Zanzibar, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza asubuhi hii. Asema shughuli za usafiri, maduka ziendelee ila elimu izidi kutolewa
" Dar es salaam kapatikana mmarekani mmoja wa miaka 61 na zanzibar kapatikana mjerumani mmoja"
=========
UPDATES : 19 MARCH 2020
#CORONAVIRUS: WAGONJWA TANZANIA WAFIKIA 6
Wagonjwa wawili wametangazwa leo na wote wamepatikana Jijini Dar
Mmoja Mwanaume (40), Mtanzania, aliyesafiri katika Uswizi, Denmark na Ufaransa
Mwingine Mwanaume (40), Mtanzania, aliyesafiri katika nchi ya Afrika Kusini
Nadhani ifike mahali wananchi tuchukue hatua wenyewe kujiokoa na hili janga.Serikali call off all flights coming to Tanzania. China walifanikiwa kwa kufanya hivyo waziri kuendelea kutupa moyo kuhusu wagonjwa that is bygones anatakiwa afanye jitihadi za kuzuia mazalia. Mazalia yanayotegemewa kuanzia wiki ijayo tutapoteana haki ya nani.Serikali should calloff all flights fungeni airports zote kila mtanzania abaki ndani ya nchi. Rwanda wametoa tangazo kwamba mwisho wa ndege kutoka anga lake ni leo.Kuanzia saa sita usiku hakuna ndege itaruka kutoka au kuingia.Kuna mfanyakazi mwenzetu tumefanikiwa kupata ndege asubuhi hii.so anaondoka.FUNGENI KUPAA KWA NDEGE
Hata siku TU tuliyomgundua Isabella ilitosha kuwapa alert kufunga mipaka Hawa watano leo tusingekuwa naoukiwaambia wanashupaza shingo. wangelifunga viwanja vya ndege hawa wasingeliingia na tungelikuwa salama. Sidhani kama watapata faida kwenye hili shirika la ndege kwa mgongo wa corona.
Tatizo watu hawafuatilii habari, wanapenda sana umbea.Na bado unaendelea kupukutisha, tarehe 18 pekee walipukutika watu 475 ..yani ndani ya siku moja..
Halafu wanasema ugonjwa unatukuzwa..haya
Sent using Jamii Forums mobile app