Serikali: Idadi ya Wagonjwa wa COVID19 kwenye baadhi ya vituo yapungua

Serikali: Idadi ya Wagonjwa wa COVID19 kwenye baadhi ya vituo yapungua

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya Ugonjwa huo kwenye baadhi ya vituo vya matibabu imepungua na wengi wao wanaendelea vizuri.

Ametaja idadi ya wagonjwa kwa siku ya leo kwa Mkoa wa Dar na Pwani katika Hospitali ya Amana kuna wagonjwa 12, Kisoka- Mloganzila 6 pamoja na Kituo cha Kibaha chenye wagonjwa 24

 
Tuache wasiwasi maisha yaendelee,Kuna maisha baada ya NOV.CORONA19 TUNAHITAJI KULA KUFANYA SHUGHULI ZA MAENDELEO KILA SIKU MAISHA HAYASIMAMI.
TUCHUKUE TAHADHARI UGONJWA UPO UNAUA
 

Attachments

  • IMG-20200512-WA0001.jpg
    IMG-20200512-WA0001.jpg
    41.9 KB · Views: 2
Mimi ndio hapa huwa natofautiana na propaganda za nchi hii!huku madereva wanakutwa na Corona wakivuka boarder,msemaji wa serikali anasema vingine,mganga mkuu wa serikali naye vingine.Tumsubir Ummy.
FB_IMG_15895682066396853.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi sioni makali ya corona maana kama mpaka sasa hatujafa hata laki 5 hv sasa hii ndio mnaita janga la dunia ?

yaani tasmini yangu nilijua ndani ya mwezi mmoja hapa kwetu tuko zaidi ya milioni 60 kwa haraka haraka mpaka sasa nilijua tungekua tumeshaondoka hata milioni 10 hivi ila mpaka sasa mimi katika ndugu,jamaa na marafiki naowajua hakuna hata mmoja mwenye ana corona au amekufa kwa corona.

sasa yowe za nini ?
 
Sasa kama vipimo hakuna,mtajuaje kama wameongezeka?na vipi kuhusu mikoani nako wamepungua?sample zinachekiwa wapi siku hizi ?maana vipimo vibovu!


Samahani lakini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi habari zilipambwa na wasanii,hivi sasa huku mikoani kumetulia vituo viko tupu labda upeleleze mwenyewe
 
Back
Top Bottom