Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo ndo kusema dar es salaam ina jumla ya wagonjwa 18 tu kufikia leo!!!??basi sawa!
kwani si nimesikia kuna watu wanasema wagonjwa wako nyumbani[emoji16][emoji16].
ila hawajalala kitandani kama mnavyoombea,mbwa nyinyi.Mungu ibariki Tanzania.
Magufuli arudi magogoni au sio?Chadema watapinga na kusema Mbowe ndiyo alimpa hayo mawazo rais Magufuli.
Yani Mbowe Mbowe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyezi Mungu aendelee kuwalinda na kuwaepusha na hili janga, wewe, ndugu, jamaa na marafiki zako unaowajua.Mimi sioni makali ya corona maana kama mpaka sasa hatujafa hata laki 5 hv sasa hii ndio mnaita janga la dunia?
yaani tasmini yangu nilijua ndani ya mwezi mmoja hapa kwetu tuko zaidi ya milioni 60 kwa haraka haraka mpaka sasa nilijua tungekua tumeshaondoka hata milioni 10 hivi ila mpaka sasa mimi katika ndugu...
Unataja Muumba, hapo hapo unatukana hebu Edit umpe Mungu wetu heshima yake ndugu yangukwani si nimesikia kuna watu wanasema wagonjwa wako nyumbani[emoji16][emoji16].
ila hawajalala kitandani kama mnavyoombea,mbwa nyinyi.Mungu ibariki Tanzania.
Hongera kwa takwimu za leo
Mungu pia huchukizwa na wapumbavu,na amewataja akiwafananisha na hayawani katika maandiko kibao tu,binaadamu wenye roho za kinyama.Unataja Muumba, hapo hapo unatukana hebu Edit umpe Mungu wetu heshima yake ndugu yangu
Sawa huenda wamekukwaza watu lakini ndo utafanyaje hii Dunia ina mambo mengi
soma taratibu huku umekaa.Hivi wewe. Unamtukana tusi kakosea nini? Unajielewa lakini na unakijua hiki unachokifanya?
Hakika ni taarifa muhaliSawa Sawa
Taarifa Njema Iwapo Ni Kweli