Serikali: Idadi ya Wagonjwa wa COVID19 kwenye baadhi ya vituo yapungua

Mungu pia huchukizwa na wapumbavu,na amewataja akiwafananisha na hayawani katika maandiko kibao tu,binaadamu wenye roho za kinyama.
Umetukana mbwa sio pumbavu,ungesema pumbavu nisinge kuquote.
Kumbuka Mungu amemuumba Mwanadamu kwa sura na mfano wake Wewe ni nani umwite Mwanadamu mbwa,hata kama amekuudhi ,Muumba hajawai Mwita !Mwanadamu wake mbwa hata Kama amemkosea vip,wewe ni nani umwite Mwanadamu unavyojisikia?
 
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya Ugonjwa huo kwenye baadhi ya vituo vya matibabu imepungua na wengi wao wanaendelea vizuri

Ametaja idadi ya wagonjwa kwa siku ya leo kwa Mkoa wa Dar na Pwani katika Hospitali ya Amana kuna wagonjwa 12, Kisoka- Mloganzila 6 pamoja na Kituo cha Kibaha chenye wagonjwa 24

View attachment 1451311
Kama ni kweli basi waruhusu wana habari za uchunguzi waende kufanya utafiti,yaani kituo cha amana na mloganzila ambavyo ndio vituo vikuu vya wagonjwa wote wa korona DAR ndio unasema kuna wagonjwa 6????? Like Seriously,you good? whata a lie!! Ni uongo wa plate namba A!! Hatuwezi kuyatatua matatizo kwa kujidanganya kwamba hayapo,tuseme ukweli.
 
Watu walitabiri hadi kufikia may hospitali zitafurika wagonjwa wa corona
 
Umetukana mbwa sio pumbavu,ungesema pumbavu nisinge kuquote.
Kumbuka Mungu amemuumba Mwanadamu kwa sura na mfano wake Wewe ni nani umwite Mwanadamu mbwa,hata kama amekuudhi ,Muumba hajawai Mwita !Mwanadamu wake mbwa hata Kama amemkosea vip,wewe ni nani umwite Mwanadamu unavyojisikia?
mkuu mbwa ni zaidi ya sura.

kuna mbwa,simba,nguruwe katika umbo la binaadamu.

binaadamu anayeombea wengine kufa,hata cheo cha mbwa ni kidogo.
 
na kama maambukizi mapya hakuna mbona jiwe bado anang'ang'ania kubaki chatoo, si arejee dar tuchape wote kazi?!

fungueni basi na shule/vyuo

waswahili walisema, NJIA YA MUONGO NI FUPI!!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20200516_081253.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dhahiri shahiri kwa sasa Corona Tanzania ni kama imeanza kupoteza kiki

Ukipita saivi huko mjini utaona ishara inayokuonesha Corona ipo ni uvaaji wa barakoa na cleansing facilities kwenye biashara za watu ila watanzania wa nazidi kuchapa kazi kama kawaida na kwa kasi maradufu

Katibu mkuu mpya anadhibitisha wagonjwa waliopo kwenye facilities za Corona wamepungua kwa kiasi kikubwa na wanaenda kuisha kabisa kabisa.

Heko JPM

nadokezwa siri ya mafanikio ni dawa zetu za ndani 😅

Tunapiga nyungu ,Tumetumia Dawa zetu tulizogundua wenyewe COVIDOL na NIMRICAF

Very soon tunaanza kuuza Dawa Zetu nje ya nchi hapa kazi tu
 
Angetuambia hao wagonjwa wamepungua kwa kupona au kwa vifo?

Kwa sasa watu wanaogopa kwenda hospitalini kwa hawapatiwi huduma, na pia wahudumu wanawakimbia sasa wakigundua wanaumwa wanajitibia tu nyumbani. Wakifa wanazikana wao kwa wao na pale ambapo serikali itapata taarifa, basi ndo tena hivyo.
 
Wakifa wanazikana wao kwa wao ina maana hata mortuary wanaogopa kupeleka maiti zao zitapata Corona?

Kwa theory hii maana yake mortuary zingefurika na misiba huko mitaani ingekuwa kila kona.
 
Kweli,nilimsikia yule profess wa NIMR akisema ile dawa inasaidia Sana, then pale Jpm aliposema tumesha ishinda hii vita,nilimwelewa.
 
Back
Top Bottom