Muwe mnamsikiliza waziri hadi mwisho...,Au kama ni taarifa soma hadi mwisho.Sasa kama vipimo hakuna,mtajuaje kama wameongezeka?na vipi kuhusu mikoani nako wamepungua?sample zinachekiwa wapi siku hizi ?maana vipimo vibovu!
Samahani lakini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi habari zilipambwa na wasanii,hivi sasa huku mikoani kumetulia vituo viko tupu labda upeleleze mwenyeweSasa kama vipimo hakuna,mtajuaje kama wameongezeka?na vipi kuhusu mikoani nako wamepungua?sample zinachekiwa wapi siku hizi ?maana vipimo vibovu!
Samahani lakini!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara ya mwisho tuliambiwa wamepona 167
Wagonjwa 480
Je hao wote washapona
Sent using Jamii Forums mobile app