Serikali ifanye 'due diligence' mkataba TANESCO kukodisha software kwa Dola 30m toka kampuni ya India

Huko kukodi ni kwa kila mwaka mbona kama ni hivyo ni upigaji mkubwa sana.
 
Bunge linasemaje juu ya hili? Yaani katika wabunge wote pamee
Bunge linasemaje kuhusu hili? Yaani katika idadi ya wabunge wote tulionao hakuna hata mmoja anaeliongelea ?
 
Na hiyo tenda ilitangazwa lini ? Ni muhimu Rais Samia akarudisha hizi tenda zote zipitie bungeni. Haiwezekani Management mpya ya Tanesco within 2 months tayari wanatoa tenda ya 30 million USD
Tena kukodi
 
Nchi huliwa na wenye meno, sio vibogoyo
 
Bunge linasemaje juu ya hili? Yaani katika wabunge wote pamee

Bunge linasemaje kuhusu hili? Yaani katika idadi ya wabunge wote tulionao hakuna hata mmoja anaeliongelea ?
Wabunge gan hao unao wazungumzia? Hawa waliopita bila kupingwa ama?
 
Kama software tayari imeshakodiwa hiyo tena siyo due diligence ni audit
Due diligence is a proactive measure before a major decision in investment is done
Huko kukodi ni kwa kila mwaka mbona kama ni hivyo ni upigaji mkubwa sana.
Vituko nchi hii haviishi. Tuliwahi kuaminishwa kuwa TCCL inatengezeza faida na hivyo kutoa dividend serikalini. Kilichokuwa kinafanyika ni serikali kupata changizo toka mashirika ambayo ina hisa. Ila ikapotoshwa tukaaminishwa kuwa yamefanyika mageuzi makubwa sana na mashirika yameanza kujiendesha kibiashara. Inawezekana kabisa Tanesco nayo ilingiizwa kwenye mtego hup
 
Makamba kaunda bodi ya TANESCO strategically imsaidie kwenye harakati za uraisi, Kaweka mtoto wa Mfanysbiashara mkubwa mle ndani, Kaweka mnufaika wa Symbion.

Kuna mtu aliniambia kuwa wenye share ya Symbion mahali fulani hapa Dar walishangilia sana waliposikia Makamba kapewa Wizara ya Nishati. What do you expect?
 
Awamu ya tano imejaa ufisadi wa kutisha,macho kumchuzi hana uwezo hata wa kua katibu kata,hapo amebebwa na katina tu...tutasikia ufisadi mkubwa mda sio mrefu
 
Tuchunguze uhitaji wa hiyo Software ,halafu taratibu za upatikanaji
 
Huku tutachukua mda kupata 10% .tunachukua kwanza liliyopo mezani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…