Diploma na kuendelea tosha kabisa.Mapendekezo mahususi kwa nchi yetu Tanzania
1. 2025 Ili mtu agombee ubunge awe na Elimu ya Shahada ya Pili (masters degree)kwenye ubobezi wwte ule.
2. Wakuu wa idara wote kuanzia Kata sifa iwe Shahada ya Pili kwenye field husika
3. Shahada ya Pili (Masters) iwe na mshahara wake syo Kama Sasa Shahada ya Pili haina mshahara.
4. Narudia tena ili mbunge agombee ubunge shart awe na masters degree full stop!
Diploma na kuendelea tosha kabisa.
Mapendekezo mahususi kwa nchi yetu Tanzania
1. 2025 Ili mtu agombee ubunge awe na Elimu ya Shahada ya Pili (masters degree)kwenye ubobezi wwte ule.
2. Wakuu wa idara wote kuanzia Kata sifa iwe Shahada ya Pili kwenye field husika
3. Shahada ya Pili (Masters) iwe na mshahara wake syo Kama Sasa Shahada ya Pili haina mshahara.
4. Narudia tena ili mbunge agombee ubunge shart awe na masters degree full stop!
Natazama uwezo wa mtu si kiwango cha mshaharaIla diploma ni Elimu ndogo Sana kwa mbunge Yani mtu mwenye dipl. Aanze kupokea salary mil. 12 huko....hamna iwe kuanzia masters nakuendelea mkuu
Yah! Mbunge ni mtu mkubwa awe na masters,Naunga mkono hoja... mbunge awe na masters ili hata anapokula mamilion yake ya mshahara iwe kidogo mshahara unaendana na Elimu yake haiwezekani mtu ana dipl. Apate salary mil kumi huko.....
Hii itanyamazisha wale wanaoidharau elimu kwasabu huwa wanawakatisha tamaa Sana watoto wetu.
MASTERS IWE NA MSHAHARA hii nayo ipo poa sana
Hongera kwa kufikiri lkn hujajua tatizo la nchi ni nini.Mapendekezo mahususi kwa nchi yetu Tanzania
1. 2025 Ili mtu agombee ubunge awe na Elimu ya Shahada ya Pili (masters degree)kwenye ubobezi wwte ule...
Sio kwa miaka hii, I know a number of people with Masters lakini hawana maajabu.Master ni elimu kubwa Sana Kwa tz
Asante kwa PongeziHongera kwa kufikiri lkn hujajua tatizo la nchi ni nini.
Uongozi ni maono sio vyetu...
Labda mabadiliko yawe asiyechangia asilipwe posho lakini kwa Tanzania ni vigumu kumtofautisha mwenye elimu na asie na elimu tena nakuta profesa mzima anatapika utumbo mpaka unabaki kinywa wazi.Hii haitahusiana na kuzuia mtu kuiba Ila tu kwa dunia ya Sasa mbunge awe na masters...ili kiasi Cha mshahara wake kiendane na Elimu yake kwa kiasi fulani
Master ina maana gn kwa mwenye master kukaa nyumbani kwa kuwa hajui elimu aliyonayo inaweza kutatua changamoto yyt. Zaidi ya kusubiri ajira.Asante kwa Pongezi
Hayo yote yatafanywa na chama husika kuona Kama mgombea husika ana maono au hana, Ila chamsingi mgombea awe na masters ili anapopokea msharaha wake kwa asilimia fulani uendane na Elimu yake.