Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Mapendekezo mahususi kwa nchi yetu Tanzania
1. 2025 Ili mtu agombee ubunge awe na Elimu ya Shahada ya Pili (masters degree)kwenye ubobezi wwte ule.
2. Wakuu wa idara wote kuanzia Kata sifa iwe Shahada ya Pili kwenye field husika.
3. Shahada ya Pili (Masters) iwe na mshahara wake syo Kama Sasa Shahada ya Pili haina mshahara.
4. Narudia tena ili mbunge agombee ubunge shart awe na masters degree full stop!