Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Kwani wamelazimishwa au wameshikiwa bunduki kucheza hayo makamali si ujinga waounajua walalahoi huko mtaani wanapunwa sh ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wamelazimishwa au wameshikiwa bunduki kucheza hayo makamali si ujinga waounajua walalahoi huko mtaani wanapunwa sh ngapi?
Wananchi wana haki ya kulindwa dhidi ya adui ujinga- Ndiyo maana wewe ulipelekwa shule kwa kodi za wananchi si tu ili ujinufaishe wewe peke yako na familia yako bali unufaishe Taifa zima hasa pindi ukiwa na nafasi ya maamuzi serikaliniKwani wamelazimishwa au wameshikiwa bunduki kucheza hayo makamali si ujinga wao
Nimekubali mkuu yaishe na nimekuelewaWananchi wana haki ya kulindwa dhidi ya adui ujinga- Ndiyo maana wewe ulipelekwa shule kwa kodi za wananchi si tu ili ujinufaishe wewe peke yako na familia yako bali unufaishe Taifa zima hasa pindi ukiwa na nafasi ya maamuzi serikalini
Pamoja na idara husika kufanya kazi zao bado kuna nyufa nyingi katika kusimamia misingi na sheria za kazi. Kuna mahali tumekosea. Raia wa kigeni wako huru sana kufanya watakavyo. Wanakuja nchini kufanya shughuli za umachinga na unaweza kukuta bila leseni hata vibali vya kuishi nchini na hawaguswi. Sina hakika lakini nahisi tumerelax mno kiasi wageni wanafanya shughuli za ajabu lakini zikiwaingizia pesa bila kubugudhiwa!Jana nilipita maeneo ya Kigamboni, nikaingia uchochoroni sehemu moja karibu na msikiti wa Feri upande wa Kigamboni nikaona mashine moja ya Kamari uchochoroni kabisa, katika kibanda kisicho na hadhi hata kidogo, kimefichwa ndanindani.
Mchina mmoja akaifungua, akatoa machenji kibao ya shilingi mia mbili mia mbili akaweka kwenye kitu kama kikapu akapeleka kwenye mzani wa kupimia zile chenji (Inaelekea njia ya kuzihesabu kwa kuwa ni nyingi sana wanazipima kwa kilo wanajua kuwa kilo fulani ni shilingi fulani).
Palepale kuna sehemu kuna vijana wanachukua hayo machenji wanaenda kuyauza kama chenji kwa watu wa daladala—Yaani wanatakatisha hizo pesa kwa mtindo huo.
Kinachonisikitisha Wachina wanatoka huko kwao wanakuja maelfu ya Kilometa, wanafanya biashara haramu freely kabisa katika ardhi yetu na serikali ipo, haifanyi lolote, uchumi unahujumiwa lakini serikali inang'aang'aa macho tu.
Haya mambo ya wachina kufanya hizi kamari serikali yetu inajua na ni miaka michache huko Morogoro walikamatwa Wachina wamehodhi maelfu kwa maelfu ya coins.
Hizi coins wanazozihodhi inapeleka kupungua katika mzunguuko na matokeo yake kuleta shida katika uchumi wa nchi.
Nakueleza ukweli haya mambo ambayo Wachina wanayafanya, ya kuvamia vyanzo vya maji na kulima, kukata magogo hovyo, kufanya kamari na kudisturb uchumi wahusika wanayajua, wanakula rushwa kisha wanakaa kimya!
Nakueleza Ukweli, huu ujinga ambao wachina wanafanya, huwezi kwenda China ukafanya ujinga kama huo nchini mwao, ni kwa sababu wana akili.
Mbona sisi tunakuwa kama Mazuzu, tunauza nchi very cheap. Why?
Ujinga haufanywi na wachina, unafanywa na unao ogopa kuwataja. Mfumo wa utawala Tanzania upo kuanzia mitaani, na CCM wana mpaka mabalozi. Kuna kamati za ulinzi na usalama za Kata, zina wajumbe toka kila Mtaa. Machine ulio iona yaweza kuwa kwenye nyumba ya kiongozi, kazi iendelee.Jana nilipita maeneo ya Kigamboni, nikaingia uchochoroni sehemu moja karibu na msikiti wa Feri upande wa Kigamboni nikaona mashine moja ya Kamari uchochoroni kabisa, katika kibanda kisicho na hadhi hata kidogo, kimefichwa ndanindani.
Mchina mmoja akaifungua, akatoa machenji kibao ya shilingi mia mbili mia mbili akaweka kwenye kitu kama kikapu akapeleka kwenye mzani wa kupimia zile chenji (Inaelekea njia ya kuzihesabu kwa kuwa ni nyingi sana wanazipima kwa kilo wanajua kuwa kilo fulani ni shilingi fulani).
Palepale kuna sehemu kuna vijana wanachukua hayo machenji wanaenda kuyauza kama chenji kwa watu wa daladala—Yaani wanatakatisha hizo pesa kwa mtindo huo.
Kinachonisikitisha Wachina wanatoka huko kwao wanakuja maelfu ya Kilometa, wanafanya biashara haramu freely kabisa katika ardhi yetu na serikali ipo, haifanyi lolote, uchumi unahujumiwa lakini serikali inang'aang'aa macho tu.
Haya mambo ya wachina kufanya hizi kamari serikali yetu inajua na ni miaka michache huko Morogoro walikamatwa Wachina wamehodhi maelfu kwa maelfu ya coins.
Hizi coins wanazozihodhi inapeleka kupungua katika mzunguuko na matokeo yake kuleta shida katika uchumi wa nchi.
Nakueleza ukweli haya mambo ambayo Wachina wanayafanya, ya kuvamia vyanzo vya maji na kulima, kukata magogo hovyo, kufanya kamari na kudisturb uchumi wahusika wanayajua, wanakula rushwa kisha wanakaa kimya!
Nakueleza Ukweli, huu ujinga ambao wachina wanafanya, huwezi kwenda China ukafanya ujinga kama huo nchini mwao, ni kwa sababu wana akili.
Mbona sisi tunakuwa kama Mazuzu, tunauza nchi very cheap. Why?
Na usisahau na betting, ndio ndoto ya kutajirika kwa vijana wa leo. Serikali inaweza kuwa inapata mgao wake, vijana wanatumiwa. Wakifirisiwa na hiyo michezo wanaokwenda kuwakaba na kuwa yes wazazi.Karibu 20 ya pesa za nchi hii wanaziiba wachina kupitia haya madubu.
Unaweza usiamini hili lakini jitahidi tu niamini Mimi.
Uswahilini pato karibu lote linachukuliwa na Wachina kupitia haya madubwi
Type maujanja mkuu tuwapige hawa jamaaKule Moshi Wachina wamenyosha mikono juu na hizo machine zao, Wachagga washajua jinsi ya kudili nazo.
CCM ktk ubora wake. CCM ni janga, ni Cancer.Wachina wanasaidia utekelezaji wa ilani ya chama [emoji4][emoji116]View attachment 2099195
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakueleza Ukweli, huu ujinga ambao wachina wanafanya, huwezi kwenda China ukafanya ujinga kama huo nchini mwao, ni kwa sababu wana akili.Jana nilipita maeneo ya Kigamboni, nikaingia uchochoroni sehemu moja karibu na msikiti wa Feri upande wa Kigamboni nikaona mashine moja ya Kamari uchochoroni kabisa, katika kibanda kisicho na hadhi hata kidogo, kimefichwa ndanindani.
Mchina mmoja akaifungua, akatoa machenji kibao ya shilingi mia mbili mia mbili akaweka kwenye kitu kama kikapu akapeleka kwenye mzani wa kupimia zile chenji (Inaelekea njia ya kuzihesabu kwa kuwa ni nyingi sana wanazipima kwa kilo wanajua kuwa kilo fulani ni shilingi fulani).
Palepale kuna sehemu kuna vijana wanachukua hayo machenji wanaenda kuyauza kama chenji kwa watu wa daladala—Yaani wanatakatisha hizo pesa kwa mtindo huo.
Kinachonisikitisha Wachina wanatoka huko kwao wanakuja maelfu ya Kilometa, wanafanya biashara haramu freely kabisa katika ardhi yetu na serikali ipo, haifanyi lolote, uchumi unahujumiwa lakini serikali inang'aang'aa macho tu.
Haya mambo ya wachina kufanya hizi kamari serikali yetu inajua na ni miaka michache huko Morogoro walikamatwa Wachina wamehodhi maelfu kwa maelfu ya coins.
Hizi coins wanazozihodhi inapeleka kupungua katika mzunguuko na matokeo yake kuleta shida katika uchumi wa nchi.
Nakueleza ukweli haya mambo ambayo Wachina wanayafanya, ya kuvamia vyanzo vya maji na kulima, kukata magogo hovyo, kufanya kamari na kudisturb uchumi wahusika wanayajua, wanakula rushwa kisha wanakaa kimya!
Nakueleza Ukweli, huu ujinga ambao wachina wanafanya, huwezi kwenda China ukafanya ujinga kama huo nchini mwao, ni kwa sababu wana akili.
Mbona sisi tunakuwa kama Mazuzu, tunauza nchi very cheap. Why?
Na mimi niliesoma private tangu kindergarten Nina Deni?!Wananchi wana haki ya kulindwa dhidi ya adui ujinga- Ndiyo maana wewe ulipelekwa shule kwa kodi za wananchi si tu ili ujinufaishe wewe peke yako na familia yako bali unufaishe Taifa zima hasa pindi ukiwa na nafasi ya maamuzi serikalini
Sh.200 ikiikata na msumeno kidogo unaponda chuma nyembemba ndefu kama futi moja hivi unaibania pale ilipokata alafu unawekea ribiti na ile wire ya aluminiam(kama ile wanayowekea viraka masufuria) ukiienda pale kwenye mashine unaingiza hiyo 200 ila haidumbukii maana ule wire ndio unaishikilia ikigusa pale ndani kwenye ringi basi unacheza mpaka unazimaliza huko zote.[emoji13][emoji13][emoji13]Kule Moshi Wachina wamenyosha mikono juu na hizo machine zao, Wachagga washajua jinsi ya kudili nazo.
Ubaya wa haya madude huwezi ukapiga ela ndefu kuanzia laki 1 hata lak 2 utaishia kula elfu kumi, lakini watu wanaliwa mpaka lak 3,4...jiongezeType maujanja mkuu tuwapige hawa jamaa
Hamna kitu kama icho njia ya kutoa ela kwenye bonanza ni kulivunjaSh.200 ikiikata na msumeno kidogo unaponda chuma nyembemba ndefu kama futi moja hivi unaibania pale ilipokata alafu unawekea ribiti na ile wire ya aluminiam(kama ile wanayowekea viraka masufuria) ukiienda pale kwenye mashine unaingiza hiyo 200 ila haidumbukii maana ule wire ndio unaishikilia ikigusa pale ndani kwenye ringi basi unacheza mpaka unazimaliza huko zote
Hicho ndio kinafanyika mchina haleti dubu bila utaratibu, mzawa unatafuta eneo, kuna gharama unalipa za dubu, mchina anakuletea kuna kiwango mchina cha kwake kila week anakuja kuchukua kikizidi ni pesa yako.Biashara hii ilipaswa kufanywa na Watanzania wenyewe sio wachina, Wachina walipaswa kusupply tu haya madubwana kwa wazawa then biashara ifanywe na wazawa...
Sisi tumeshakula hela zaidi ya mara 3 sema walishtuka wakabadilisha kwa sasa ni ngumu [emoji1]Hamna kitu kama icho njia ya kutoa ela kwenye bonanza ni kulivunja