DOKEZO Serikali Ifanye Uchunguzi Wa Kifo Cha Dkt Faustine Ndugulile Na Kuongeza Ulinzi Mzito Kwa Dkt Tulia Ackson

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
CCM inapita na kushinda kihalali kabisa na kwa haki
 
Kwani waliwahi kuwa na ugomvi na yeyote hata uwe na mashaka?
Kuwa tu kwenye eneo fulani kuwazidi wenzako tayari unakuwa upo kwenye vita na baadhi ya watu ambao unakuta walikuwa wanatamani wao ndio wangekuwa hapo.ndio maana hata ungekuwa mwema vipi lakini bado huwezi kupendwa na kila mtu.
 
Kwani wamesema chanzo cha kifo chake? BTW kuna yule shujaa wenu mbona hakwenda hata hapo Malawi aliishia kutibiwa Muhimbili akahifadhiwa makumbusho kwa Mzena?

BTW huu ulinzi mtu kama Tulia anao by virtue ya cheo chake hatuhitaji matumizi yasiyo na ulazima kama yeye mwenyewe hatajichunga coz we are.expecting yeye ajichunge zaidi taking into consideration that yeye ni msomi na mwanasiasa.
 
Wewe tahira tuliza mahali pako pa kunyea.
Mbogamboga mnauana wenyewe halafu leo unataka uchunguzi.
Haya Bashite ndiye kamuua huyo kamkamate
 
Magufuli alikuwa na maadui wagapi na wenye uwezo kiasi gani, kiuchumi, kiitelenjesia, kimamlaka?
Je upande wa Faustine kwa haraka haraka maadui zake ni akinani je kiuwezo wakoje?

Kwa akili yako maadui wa nani wana uwezo zaidi?

Nafasi gani ina nguvu zaidi? Hint- nafasi ya Ndugulile nchi yako plays a key role ili ushinde.

Hiyo nafasi mnaikuza kuliko uhalisia ni nafasi nzuri ila duniani nafasi sio hiyo tu. Kuna makampuni kibao yanatafuta qualified personnel to fill in their open positions. Hizo nafasi zinalipa maradufu ya hiyo DG WHO Africa. UN in general inalipa hela ya kawaida sana angalia mshahara yao kwenye website yao, so inashangaza hata mtu kuwaza kuna madr sehemu wameamua kumtoa Ndugulile uhai ili wapate hiyo nafasi this is really a stretch. Ni either hao watu hawana qualifications za kubid other high paying positions somewhere else au wajinga. Kingine Wana uhakika kiasi gani akitoka Ndugulile lazima wao wapate hiyo nafasi? Akipewe mtu wa Kenya wakati nyie mnaamini ni mtu from West Africa kamtoa Ndugulile uhai wao wanapata faida gani?
 
the suprime hospital yetu ni muhimbili, nategemea ndipo matibabu ya juu kabisa yapo pale. sasa siku za karibuni naona ile kasumba ya kutibiwa india inarudi kwa kasi.

lakini najiuliza huyu boss siku ya gorofa kariakoo alifika wa kwanza na cha ajabu hata ambilance ya ofosini kwake hakujanayo. nawasiwasi na ufanisi wa huyu bwana mkubwa ipo haja atupishe ofisi ya umma
 
Hivi yule dada alikua naibu waziri wa afya kipindi cha Magufuli, akatenguliwa alikua anaitwa nani?
Nakumbuka nae alikula shavu WHO baadae akafariki. Aliumwa nini?
 
Ccm Huwa mnafirahi kuua wapinzani

Sasa mnaanza kuuana wenyewe kwa wenewe

Nchi ya ajabu hii eti ccm mnaua think tanks wenu mnabakiza manungayembe kama Kipara, goli la mkono na kifua kipana, hakika maendeleo tutayasikia china
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…