DOKEZO Serikali Ifanye Uchunguzi Wa Kifo Cha Dkt Faustine Ndugulile Na Kuongeza Ulinzi Mzito Kwa Dkt Tulia Ackson

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Duu, hadi mama naye analindwa na intarahimwe?
 
Hii trash sijaisoma ila wafe tu. "Kifo ni kifo tu"
 
Hali inaonesha watu kuwa na mashaka sana kwa kifo chake. Nadhani ni vyema ikafanyiwa follow up nini hasa kilitokea kupelekea kifo chake.

Sawa kifo ni kifo tu. Lakini kuna mambo yanaenda namna ambayo inaleta mashaka sana.
 
Tatizo ni kwamba hatuweki wazi hawa viongozi wanapokuwa hawapo sawa kiafya. Inapelekea watu mnakuwa na maswali kama haya. Apumzike kwa amani kifo ni kifo tu lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…