DOKEZO Serikali Ifanye Uchunguzi Wa Kifo Cha Dkt Faustine Ndugulile Na Kuongeza Ulinzi Mzito Kwa Dkt Tulia Ackson

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama Nyerere alinusurika kupinduliwa na wabongo wenyewe zaidi ya mara 8 unaweza kuwaamini mbongo
Ikulu inalindwa na wanajeshi kutoka nje ya nchi zaidi ya mia Tano. Halafu unaanzaje kuwaamini wabongo
Ulinzi wa mtu unaanza na mtu mwenyewe na Mungu wake.
 
Una very narrow thinking capacity, hivi unajua teknolojia ina nguvu kiasi gani miaka hii? Siku hizi ulinzi uko akilini mwako, there is nothing kwenye hao wenye magwanda na bunduki
Kwani mtu anapokwambia ulinzi unafikiri nini? Ulinzi ni zaidi ya mabunduki uyaonayo kwa macho yako.unaweza kulazwa na kumalizwa hata bila kupigwa risasi au kukwaluzwa na wembe.
 
Kwahiyo kuuawa kwa Ally Kibao wewe hukuona, si Hangaya alisema kifo ni kifo tu, Mlivyomtupa Sativa kwenye kundi la fisi pia hukuona?

Huu uzi utakudhalilisha wewe na wanaokulipa, Subiri.
Alichokosea ni kuwaweka kundi Moja mtu aliyekwisha kufa na mtu aliye hai

Ni kama uchuro Fulani ukiangalia kirohoni zaidi 🐼
 
Kila siku mnasifia kuongeza vituo vya afya nchini ila nyie wenyewe hamviamini. Kama mmeacha kuamini hata huko mnakokimbilia labda mtaboresha hospital za ndani ili mtibiwe hapa hapa.
 
Tatizo lako wewe ni CCM , automatically unakuwa hufai kwa chochote. Endelea kusema Mama anatosha , anaupiga mwingi badala ya kutumia nguvu nyingi kwenye kushawishi katiba mpya !! Unajua hata maana ya uchunguzi wewe form four failure ?
 
Serikali Ifanye Uchunguzi kwa kutumia Tume iliyochunguza kifo Cha Mzee Ally Kibao kama ilishamaliza uchunguzi.

Saa100 alisema kifo ni kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…