DOKEZO Serikali Ifanye Uchunguzi Wa Kifo Cha Dkt Faustine Ndugulile Na Kuongeza Ulinzi Mzito Kwa Dkt Tulia Ackson

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ulinzi wa nini? Acha mmalizane. Mmeshazoea kunywa damu za watu
 
Ungekaa pembeni uache wenye akili Timamu na wanaojitambua wajadili hoja.
Hamna kitu wewe Chawa. Huna unachojoa , rudi shule , unakimbia shule halafu unataka utoboe kwenye Uchawa , kijana kwa taifa la leo but unakuwa MPUUZI, Mama anaupiga mwingi anaupiga wapi? Huna aibu mwanaume mzima unategemea kuishi kwa uchawa, ulambe viongozi makalio ndio uishi

Dumb kabisa
 
Ni ushauri mzuri,
Je Marehemu alikuwa Team ipi?

Team Msoga, Team El, team Mkojani Fc? Team Jpm au team ipi?
Je Upande wa Laurence Mafuru alikuwa team ipi?
Kwa muda mfupi huyu ni kiongozi wa rank ya juu wa kikristo kufariki je hakuna hujuma za makundi?

Juzi kkuna mtu alikuwa na press conference na...... Ili kujisafisha kwenye hadhira, je lengo ni kwenda kugombea jimbo lile? Ile press ilikuwa ni msukumo wake yeye au kuna watu nyuma yake?
Lucas Mwashambwa hivi kwa nini mlikuwa kimya kusema kwa Wana Kigamboni na kwa Watanzania kuwa waziri wetu wa afya mstaafu na mbunge wa Kigamboni anaumwa yuko India kwa matibabu?
Watanzania wangeunganisha nguvu ya dua na sala pamoja na matibabu ya madaktari lkn nyie mkafanya siri, taifa mnakuja kutoa taarifa ya kifo chake, tukisema mmemnyonga tutakuwa tunakosea?
Utawala wa Kikwete kurudi nyuma mbona walikuwa wakitoa taarifa hata kwa mawaziri waliopita wakilazwa hospitali?
 
Tuendelee kuwa watulivu wakati huu na kuwaombea familia ili Mungu awapatie moyo wa subira na uvumilivu
 
Tuendelee kuwa watulivu wakati huu na kuwaombea familia ili Mungu awapatie moyo wa subira na uvumilivu
Mimi si mwanasiasa ila Imeniuma sana kutokana na Dr namna alivyokuwa kwenye jamii ya Watanzania,
Na km serikali hakumpa ulinzi baada ya kuteuliwa kwake na WHO basi ni uzembe wa hali ya juu sana.
Dr alikua anaenda kuwa kiongozi wa mataifa zaidi ya 40, na watu karibu ya Bilioni moja unashindwaje kumpa ulinzi?
 

Magufuli hakuwa na ulinzi tena wa jeshi kabisa sasa yuko wapi? Mnapenda sana conspiracy theories.
 
Bladifakeb bastard, mbona hujawahi kusemea kifo cha wanachadema waliouawa miaka yote. Sijawahi kukuona unaandika kuhusu Soka na wenzake, Ben Saanabe, Mzee Ali Kibao. Jana tu wamekufa chadema 3 kwa ujinga wa uchafuzi....hujaandika lolote. Shetani mkubwa wewe, ufe umfuate Jiwe
 
Kwani nani kakuzuia wewe kuandika? Na wewe andika utakayo yafanyike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…