DOKEZO Serikali Ifanye Uchunguzi Wa Kifo Cha Dkt Faustine Ndugulile Na Kuongeza Ulinzi Mzito Kwa Dkt Tulia Ackson

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Serekali ya kihalifu ichunguze kifo cha utata wakati wao wenyewe wameshawatanguliza kina Soka, Ali Kibao ahera?
 
Aliyekurupuka ni wewe! Lakini bwana Lucas kwenye hii dunia ogopa sana kuwa mtumwa wa mtu mwingine kwa lengo la kujipatia kipato. Njia sahihi ya kujipatia kipato ni kufanya kazi kwa bidii, hata ukipata kidogo utaishi kwa amani na upendo kuliko maisha ya kujipendekeza kwa viongozi . Unajua kwa akili zako unaweza kumchomesha ndugu yako kwa lengo lakupata kipato??
 
KWa hiyo ndugu Popoma unataka kutuambia CCM mmeanza kushenyentana wenyewe kwa wenyewe siyo hadi muanze kupeana ulinzi maalum.
 
Mimi ni mkulima na kilimo ndio kazi yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…